Tupate mkataba wa uendeshi wa hospital za Bugando (TEC) na KCMC (KKKT) ili tujadili bandari vizuri

Tupate mkataba wa uendeshi wa hospital za Bugando (TEC) na KCMC (KKKT) ili tujadili bandari vizuri

Serikali ijenge zao

bugando na kcmc zote ni za serikali nyerere mungu amlaani ndio aliyewapa makanisa na serikali inalipa mishahara hapati chochote na haina ubia wala sheya, katika marais walioivuranga tanzania ni nyerere, kataifisha majumba ya waislamu kawapa NHC katuletea bakwata kuuwa uislamu, bakwata ni wakristo walivaa kanzu
 
Huo mkataba uletwe hadharani tuchambue vipengere vyake kwanini kanisa aneficha huo mkataba kama uko fair........kuna kilichofichwa nyuma ya pazia wananchi tunapigwa na kinisa iwe je serikali iendeshe hospitali zote za kanisa na shule wakati huo wanatoza ada kubwa kwa ajiri ya matibabu.
Kwa hiyo mnalipiza kisasi kwa mfano dhaifu kama huo!!! Hivi unafahamu hata muhimbili ilikuwa ya kanisa? Hizo hospitali zinatoa huduma sawa kwa watu wote, na huwa haziulizi dini yako ili kupewa upendeleo wa huduma.
Hata hivyo seriously umekaa ukafikiri ukaona hii hoja ya hospitali inafanana na kuuzwa kwa bandari? Kazi tunayo kwa hasara ya fikra tulizonazo.
 
Hospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa na zinaendeshwa kwa ubia na serikali ya JMT. Ninafikiri mikataba yake ingetusaidia sana kwenye mjadala unaoendelea wa bandari
Unataka kusema DP inamilikiwa na waislam, na hivyo wanateka kushirikiana na Serikali waiendeshe bandari yetu?

Hayo makanisa yamejenge hospitali yenyewe. Serikali imeyakuta makanisa yakiwa na hospitali zake, ikayaomba makanisa yabebe mzigo wa Serikali.

Kama DP ni ya BAKWATA, watuoneshe bandari waliyoijenga, ambayo wanataka washirikiane na Serikali kuiendesha.
 
Zamani zilikuwa zinaendeshwaje? Wenye hispitali, hata siku moja, hawakuwahi kuomba msaada serikalini. Ni Serikali ndiyo iliyokuwa imewaomba.
Leteni hayo maombi ya serikali inaomba kanisa iwalipe waendeshe hizo hospitali.
 
Huo mkataba uletwe hadharani tuchambue vipengere vyake kwanini kanisa aneficha huo mkataba kama uko fair........kuna kilichofichwa nyuma ya pazia wananchi tunapigwa na kinisa iwe je serikali iendeshe hospitali zote za kanisa na shule wakati huo wanatoza ada kubwa kwa ajiri ya matibabu.
Mwambie ostadhati aulete,serikali si ndio iliomba
 
Mbona umeshajijibu mwenyewe kwamba "Hospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa"

Bandari rasili mali ya taifa sio mali ya kumpa dpworld, aje apige kazi ila bandari umiliki bado uwe kwetu, akizingua atimue akijitahidi anaongezewa mkataba wa miaka mitano mitano
 
Screenshot_20230630-233102.png
hapo vipi👆👆👆...ushirikiano kati ya serikali na taasisi za kidini "makini"ni muhimu tangu kitambo.
 
Hizo hospital zitafungwa,hawawezi survive bila kuweka mrija hazina
Hizi hospitali zilijengwa na makanisa lakini zilitaifishwa na serikali ikazichukua 100%. Serikali ilipoona zinawashinda ndio zikaomba waliozijenga wazichukue tena kwa makubaliano kuwa zitatumika kama hospitali za rufaa. Hizi hospitali zinamilikiwa 100% na makanisa, hela zinazotoka hospitali ni kuziwesha ziendelee kutoa huduma kwa gharama ambayo wewe na mimi tunaweza kumudu. Hii ni tofauti na hospitali ya Aga Khan inayomilikiwa na taasisi ya Kiislamu ya kiismailia ambayo hawana ushirikiano na serikali. Wote tunajua gharama za Aga Khan au ile ya wahindu ya Hindu Mandal. Mnatakiwa kuwashukuru wakatoliki na walutheri kukubali hospitali zitumike kama hospitali za rufaa. Msijidanganye kuwa haziwezi kujiendesha bila ushiriki wa serikali. Ushirikiano huo ukifa kama mnavyotaka watapandisha gharama zao na zitakuwa kama za Aga Khan.

Amandla...
 
Huo mkataba uletwe hadharani tuchambue vipengere vyake kwanini kanisa aneficha huo mkataba kama uko fair........kuna kilichofichwa nyuma ya pazia wananchi tunapigwa na kinisa iwe je serikali iendeshe hospitali zote za kanisa na shule wakati huo wanatoza ada kubwa kwa ajiri ya matibabu.
Kwani Kuna mgonjwa analazimishwa kwenda kutibiwa huko
 
Hizi hospitali zilijengwa na makanisa lakini zilitaifishwa na serikali ikazichukua 100%. Serikali ilipoona zinawashinda ndio zikaomba waliozijenga wazichukue tena kwa makubaliano kuwa zitatumika kama hospitali za rufaa. Hizi hospitali zinamilikiwa 100% na makanisa, hela zinazotoka hospitali ni kuziwesha ziendelee kutoa huduma kwa gharama ambayo wewe na mimi tunaweza kumudu. Hii ni tofauti na hospitali ya Aga Khan inayomilikiwa na taasisi ya Kiislamu ya kiismailia ambayo hawana ushirikiano na serikali. Wote tunajua gharama za Aga Khan au ile ya wahindu ya Hindu Mandal. Mnatakiwa kuwashukuru wakatoliki na walutheri kukubali hospitali zitumike kama hospitali za rufaa. Msijidanganye kuwa haziwezi kujiendesha bila ushiriki wa serikali. Ushirikiano huo ukifa kama mnavyotaka watapandisha gharama zao na zitakuwa kama za Aga Khan.

Amandla...
Hakuna tofauti ya Bei kati ya hizo hospital ulizotaja,Tena za kanisa Bei juu, serikalini Bei chini,kwa nini hospital za kanisa zinazopata ruzuki Bei iwe juu!?..na Kwa nini serikali isaidie biashara za kanisa!?..yaani serikali itie ruzuku halafu useme imeshindea zuendesha!?..tumia akili,haijalishi agha Khan kuwa Ismailia au laa,kwa nini hawakupewa mkataba waliopewa kanisa!?
 
Zamani zilikuwa zinaendeshwaje? Wenye hospitali, hata siku moja, hawakuwahi kuomba msaada serikalini. Ni Serikali ndiyo iliyokuwa imewaomba.
Unamdanganya nani babu!?..na kuondoa ushuru kwa bidhaa za taasisi za dini pale bandarini ni serikali ndiyo iliyotaka au ndiyo utenda kaza wa mfumo kristo!?..mawakala wa kanisa kutafuta namba ya kulipa unafuu kanisa!?
 
Hakuna tofauti ya Bei kati ya hizo hospital ulizotaja,Tena za kanisa Bei juu, serikalini Bei chini,kwa nini hospital za kanisa zinazopata ruzuki Bei iwe juu!?..na Kwa nini serikali isaidie biashara za kanisa!?..yaani serikali itie ruzuku halafu useme imeshindea zuendesha!?..tumia akili,haijalishi agha Khan kuwa Ismailia au laa,kwa nini hawakupewa mkataba waliopewa kanisa!?
Unaweza kulinganisha gharama za kutibiwa KCMC na Aga Khan? Aga Khan haikuingia katika MoU kwa sababu hospitali ya Aga Khan haijawahi kutaifishwa wakati za wakristu zilitaifishwa. Ndio maana hata Bakwata haikuhusika kwa sababu shule yao ya sekondari ya Kinondoni haikuwahi kutaifishwa. Shule za wahindu ( Jangwani na Azania) hazikurudishwa kwa wahindu. Shule za wa Ismailia ( Tambaza na Zanaki) zilirudishwa kwa makubaliano maalum baina yao na serikali. Kwa mfano walirudishiwa hostel zao.

Pamoja na kuonyesha chuki wazi wazi dhidi ya taasisi za kikristu, huko mikoani na vijijini wananchi wa kawaida ( wakristu, waislamu, wanao fuata imani za asili, rasta n.k.) wengi wanazitegemea kuliko hizo za serikali.

Amandla...
 
Back
Top Bottom