Tupate mkataba wa uendeshi wa hospital za Bugando (TEC) na KCMC (KKKT) ili tujadili bandari vizuri

Hospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa na zinaendeshwa kwa ubia na serikali ya JMT. Ninafikiri mikataba yake ingetusaidia sana kwenye mjadala unaoendelea wa bandari

Peeling back the DP World's mask.
 
Kwani za kanisa siyo za watu binafsi!?..hujawahi sikia corporate imefikisika!?
 
Hospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa na zinaendeshwa kwa ubia na serikali ya JMT. Ninafikiri mikataba yake ingetusaidia sana kwenye mjadala unaoendelea wa bandari
Mmekuwa mnatibiwa huko na mnafurahia maana zina vifaa vyote. Kuanzia sasa msiende huko muende za bakwata.
 
Chuo cha Muslim Morogoro kipo Eneo na majengo ya Serikali. Mnafaa mfukuzwe
 
Umeongea point sana Yan pasipo kuwa n ubia wowote katika sector binafsi na serikali, serikali haiwez kuendesha miladi yote na ikafaulu Kwa kiasi Cha kujitoshereza,,kama ulivyosema viongozi wakubwa wanatoka nchini mwao wanaenda kutibiwa nje. swali ni je kwanini wanaenda nje kupata matibabu
 
Kamuulize mwinyi raisi muislamu aliyesign mwaka 92 atakupa majibu ya maswali yako
 
Kwahiyo hilo ndo lina justify mkataba wa kunyoonya mali za ummah na kanisa? Lugha chafu unao tumia
Fanyeni maendeleo acheni majungu.
Jengeni mahospitali ya maana ya rufaa acheni kuchukua chumba Cha madrasa na kukufanya dispesari au shule ya sekondari! Hivi mpo siriasi nyie?
 
Si kweli
 
I think this topic is somehow leading towards a racialism aspect..
What if DP world owners were Christians etc would this be another agenda of a particular race??
 
Chuo cha Muslim Morogoro kipo Eneo na majengo ya Serikali. Mnafaa mfukuzwe
Serikali iliwapa bure baada ya kekele kuwa ohh waislamu tunaonewa wanataka tudome vyuo ambavyo vya mfumo Kristo

Visivyosisitiza swala tano nk

Wakapewa

Chuo kikuu cha kiislamu Morogoro hata waislamu wenyewe wengi hawataki kwenda kusoma na maproffessor na wahadhiri mahiri waislamu hawataki kwenda kuajiriwa kufundisha pale

Wamejazana vyuo vya mfumo katoliki.na secular

Hawataki chuo kikichojaa mayowe ya takbiriiiii ambamo.imamu wa msikiti.na sharia ana nguvu juu ya Proffessor na Mhadhiri kwenye hatima ya wanachuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…