itede votata
Senior Member
- Jan 14, 2025
- 100
- 152
Ndege njiwa aligundua hatari ya kumezwa na injini ya ndege hapo airport kwa usalama wake akajihami....Miaka hio niko dar, nimepanda dala dala natoka gongo la mboto kuja kariakoo, kufika mitaa ya airport (ndege) naona njiwa anaingia ndani ya dala dala yetu kupitia dirisha la nyuma na akajibanza siti ya nyuma hadi tulipofika kituo cha TAZARA, nikamuona yule njiwa anapaa kutokea dirishani.
Hadi leo najiuliza ina maana yule njiwa alishindwa kuruka na kupaa kutoka Airport to Tazara, hadi apande dala dala? Duh.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hiki Cha Mwisho! 😂
Enzi hizo Bado Tanga hotel ni ya moto inamilikiwa na Mzee Tarimo.
Tumetoka breakfast ya saa nane! Kikombe kimoja Cha chai na maandazi mawili. Tulikuwa hatushibi
Mara papa kushuka kwenye ngazi tunakutana na jamaa yetu, amebeba chapati mbili afu yeye kama anatafuna
Akasema nimewaletea chapati ila mle hapa hapa tusije tukaulizwa tumezipataje! Mimi na jamaa acha tufakamie haraka haraka! Ile tumemaliza yule mleta chapati akaanza kucheka mpk analalala chini.
😳😳😳 Tunajiuliza mbona jamaa anacheka!
Ndo mtu mwingine anatokea anatuambia! Kuna jamaa wa form Three alitoroka kwenda kununua chapati akakamatwa na headmaster
Akamnyang'anya chapati afu akazitupa chini akazikanyanga kanyaga na viatu ndo jamaa akaziokota akaja kutulishaa
😂😂
Hii ya njiwa imenikumbusha japo haina uhusiano na uzi huu, miaka kadhaa nyuma nipo ofisi fulani; ile asubuhi tumefungua ofisi mara tunakutana na njiwa yupo juu ya desk ya mtu fulani aliyekuwa likizo. Ukizingatia yule njiwa alikuwa amepakwa rangi nyekundu chini ya mabawa halafu ni hawa njiwa wa kufugwa na maeneo yale si makazi ya watu ebana eeeh si kila mtu akaogopa hata kuingia. Sasa kuna mmaza mmoja akaanza kumkandia jamaa aliyekuwa likizo kuwa huwa ni mshirikina na atakuwa anahusika na hilo tukio(na kweli yule mwamba alikuwa na vielementi fulani visivyoeleweka), wote wakamsapoti na wakakubaliana yule njiwa akatupwe chooni.Miaka hio niko dar, nimepanda dala dala natoka gongo la mboto kuja kariakoo, kufika mitaa ya airport (ndege) naona njiwa anaingia ndani ya dala dala yetu kupitia dirisha la nyuma na akajibanza siti ya nyuma hadi tulipofika kituo cha TAZARA, nikamuona yule njiwa anapaa kutokea dirishani.
Hadi leo najiuliza ina maana yule njiwa alishindwa kuruka na kupaa kutoka Airport to Tazara, hadi apande dala dala? Duh.
hahahahHii ya njiwa imenikumbusha japo haina uhusiano na uzi huu, miaka kadhaa nyuma nipo ofisi fulani; ile asubuhi tumefungua ofisi mara tunakutana na njiwa yupo juu ya desk ya mtu fulani aliyekuwa likizo. Ukizingatia yule njiwa alikuwa amepakwa rangi nyekundu chini ya mabawa halafu ni hawa njiwa wa kufugwa na maeneo yale si makazi ya watu ebana eeeh si kila mtu akaogopa hata kuingia. Sasa kuna mmaza mmoja akaanza kumkandia jamaa aliyekuwa likizo kuwa huwa ni mshirikina na atakuwa anahusika na hilo tukio(na kweli yule mwamba alikuwa na vielementi fulani visivyoeleweka), wote wakamsapoti na wakakubaliana yule njiwa akatupwe chooni.
Niliwapinga nikawaomba yule njiwa nimchukue ama wamwachie badala ya kuuwawa kikatili kwa kutupwa chooni. hoja yangu ilikuwa ni kwasababu dirisha tulikuta halijafunga vizuri hivyo niliamini aliingilia hapo. Ila sikueleweka, wakasema huyu ni jini, basi wakamtupa kwa choo.
Sasa lile tukio lilikuwa habari kuu kwa siku hiyo, hadi pale officer mmoja alipowasili mchana kutokea field huko alikokuwa akitekeleza majukumu yake akasema; jana majira ya jioni aliona watoto(vijana) wakimfukuza huyo njiwa ndipo alipoingia kwa fensi na kubaki juu ya mti, akasema anahisi ndio huyo baadae aliingia ndani.
Hakika mkuuMimi mjomba wangu alidharaulika sana na ndugu zake wadamu na baba yake mzazi (babu).
Alibakia na suruali moja ikabidi aanze kutembea usiku mchana analala.Alikuwa anakula mara moja kwa siku( waliokuwa wananunua msosi walikuwa wanatoa shombo nyingi)
Kufupisha stori fedha yake ya kwanza kuipata ilikuwa milioni 18.Siku amekuja nayo wanandugu wakapendekeza ichimbiwe chini.Alimnunulia babu kila kitu mpaka viwembe hilux ilikuja imejaa vitu.Babu yangu alivyoona vile vitu akaanza kulia ila alivipokea kwani alishawahi kumtabiria atakuja fanya kazi stand ndio kunamfaa.Alifanya kazi Sandvik Tanzania licha ya cheti chake cha elimu ya masafa marefu( Hajawahi kukanyaga chuo chochote). Nimechoka kusimulia.Usimdharau mtu usimkatie tamaa mtu.Hiyo ndio stori yangu ya leo.
Asante .
🤣🤣🤣Kipindi nasoma nipo darasa la pili nilikuwa natoka shule nimeshuka kwenye haisi/daladala kwa wanaopajua mabatini (mwanza) zamani kulikuwa na kama kimtaro kirefu mno pale stendi ya mabatini huu apande wa laini polisi.
Nikiwa navuka kwenye daraja bahati mbaya nikatereza na kuanguka kwenye mtaro mrefu alafu wa maji machafu, nilijua ndio mwisho wangu nikahangaika kutoka nikafanikiwa kuona nguzo za lile daraja ndio watu wakanivuta nikatoka nikiwa nimeloa chepe
Mzee kusikia habari alitoka kazini na kuja mbio nyumbani.
😄😄 asante sana🤣🤣🤣
Naifahamu ile mitaro mirefu mkuu
Pole snaa
mvua zikinyesha watu wanatupa taka zao yale maji yanapita paleAlafu huwa ni michafu sanaa, uswahili kote kule ndio maji huya yanapita mitaro ile @🤣🤣🤣
Alichoka 😅Miaka hio niko dar, nimepanda dala dala natoka gongo la mboto kuja kariakoo, kufika mitaa ya airport (ndege) naona njiwa anaingia ndani ya dala dala yetu kupitia dirisha la nyuma na akajibanza siti ya nyuma hadi tulipofika kituo cha TAZARA, nikamuona yule njiwa anapaa kutokea dirishani.
Hadi leo najiuliza ina maana yule njiwa alishindwa kuruka na kupaa kutoka Airport to Tazara, hadi apande dala dala? Duh.
mjomba alitoboa akiwa na umri gani?Mimi mjomba wangu alidharaulika sana na ndugu zake wadamu na baba yake mzazi (babu).
Alibakia na suruali moja ikabidi aanze kutembea usiku mchana analala.Alikuwa anakula mara moja kwa siku( waliokuwa wananunua msosi walikuwa wanatoa shombo nyingi)
Kufupisha stori fedha yake ya kwanza kuipata ilikuwa milioni 18.Siku amekuja nayo wanandugu wakapendekeza ichimbiwe chini.Alimnunulia babu kila kitu mpaka viwembe hilux ilikuja imejaa vitu.Babu yangu alivyoona vile vitu akaanza kulia ila alivipokea kwani alishawahi kumtabiria atakuja fanya kazi stand ndio kunamfaa.Alifanya kazi Sandvik Tanzania licha ya cheti chake cha elimu ya masafa marefu( Hajawahi kukanyaga chuo chochote). Nimechoka kusimulia.Usimdharau mtu usimkatie tamaa mtu.Hiyo ndio stori yangu ya leo.
Asante .