Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Yaaan baada ya kumaliza kidato Cha nne nikafaulu na kujiunga kidato Cha tano advance nilikuwa kawaida mno natamani hata kesho nimalize niondoke nishachoka Ila ndo sikuwa na namna inabidi nivumilie......🤣🤣😁🤣🤣🤣🤣🤣
Ya rangi sinywiTafuta vitafunio Sasa kama umepata chai
Upweke na maziwa basi MkuuYa rangi sinywi
😅🤣 Ntamtoboa macho fasta na hakuna atakae jua 🏃🏃🏃Bruh 😂👊 ukimwambia kuwa ?
2018 nipo kazini (hii ofisi) nikiwa na mwaka wa sita ofisini..!!!Mwaka 2018 nikiwa form five nilinaswa na kiongozi mkuu wa shule nikiwa na simu. Hiyo ni baada ya kuwa ilitangazwa kwamba students wote tusalimishe simu zetu. Mzee mzima nikakaza sisalimishi simu. Miezi karibu 5 hivi snitch akanichomea utambi Kwa leader kua nna simu jamaa akaweka mtego nikanaswa nayo. Adhabu ilikuwa suspension wiki 2 istoshe kihomeboy mbali. Nikapelekwa Kwa second master asiye na ajizi nikiwa na simu yangu nikajua nitafukuzwa. Ajabu ticha akanisifu akiniambia Kwa vitisho mkwara na mteru niliowapiga dogo Baki na simu yako. Leader usimguse dogo. Nikashangaa sana
😂😂😂 Daah vijana Hawa wadokozi changamoto sana😅🤣 Ntamtoboa macho fasta na hakuna atakae jua 🏃🏃🏃
Mkwara wa SGR
ahahahabahabahahahhahahahahah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤢🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 realMamy aiseee nimechekaa usiikuu huu wote🤣🤣🤣Mwaka 2018 nikiwa mkoa mmojawapo wa Kanda ya Kati. Nilidownload app ya tinder(kama sijakosea) nikaletewa list ya warembo ambao wako karibu na mimi aisee nikachagua kamoja karembo sana .
Chati nako,badilishana namba,nilipiga anapokea demu sauti nzuri tumekubaliana aje. Saa Tano usiku kanipigia simu kuwa anapanda boda wamefika naona mtu kajifunika shuka la kimasai,nikazamisha geto.
Lahaulaaaa kutoa shuka hivi dume lenzangu linalegeza sauti,nikamuuliza na wewe vipi,umefikaje hapa!? Akaniambia ndiye tuliyekuwa tunawasiliana nikamwambia toka nitakuua Bure akawa anabisha aisee nilichomoa Sime akatimka mbio.
Alivyotoka nikasema nini mimi kuhangaika kote huku Hadi kuleta mashoga geto???😂😂😂
Sauti ilikuaje mkuu ,kama ile ile uliyopiga simu au au ya kidume???🤣 AissMwaka 2018 nikiwa mkoa mmojawapo wa Kanda ya Kati. Nilidownload app ya tinder(kama sijakosea) nikaletewa list ya warembo ambao wako karibu na mimi aisee nikachagua kamoja karembo sana .
Chati nako,badilishana namba,nilipiga anapokea demu sauti nzuri tumekubaliana aje. Saa Tano usiku kanipigia simu kuwa anapanda boda wamefika naona mtu kajifunika shuka la kimasai,nikazamisha geto.
Lahaulaaaa kutoa shuka hivi dume lenzangu linalegeza sauti,nikamuuliza na wewe vipi,umefikaje hapa!? Akaniambia ndiye tuliyekuwa tunawasiliana nikamwambia toka nitakuua Bure akawa anabisha aisee nilichomoa Sime akatimka mbio.
Alivyotoka nikasema nini mimi kuhangaika kote huku Hadi kuleta mashoga geto???😂😂😂
Alijitahidi kubana pua,mambo ilisikika vizuri tu ila kupeleka ndani Sasa 😂😂😂H
ahahahabahabahahahhahahahahah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤢🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 realMamy aiseee nimechekaa usiikuu huu wote🤣🤣🤣
Utoto tu umeandika.... Hakuna la maana.unaiga iga tu stories za watu.Katika kuvimbiana na muhuni mmoja nikajikuta nimemkata makofi.
Alivyopanic tu akili ikaniambia toa kitambulisho Msogezee Machoni kabisa huku ukimwambia anajua wewe Ni Nani ?
Jamaa Alikuwa hajui kusoma cjui au hakuona vizuri kutokana na ule ukaribu wa kitambulisho na njicho.
Angejua kilikuwa kitambulisho Cha The Amazon College angeniua siku ile.
Me fala Sana unajua.😂
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔nmetoka zangu bush kwetu,nmeenda arusha field,siku moja mzee kanibless na ka hela,sasa niende nikatoe nikakutana na jamaa njiani.
Akanisalimia vizur nikamjibu,akaniuliza unaijua hospital kwa jina la happy?,nikamwambia hapana,mara akaja mzee akasema,binti yangu mm naumwa kwaio nahitaji kufika kwenye hio hospital.
Kumbe navosemeshwa dawa ndo inaingia,saa ngapi nisianze kuwafata na kuwapeleka kwenye hospital nisiyoijua,bahat kuna mtu alinisemesha dawa yao ikaisha nguvu,nikawaambia nyie m mwanafunzi inabid nirud mwalimu ananisubiri,wakanambia sio vizur binadamu inabid kusaidiana,,weeee mie huyooo nkavuka barabara kurud nilikotoka🙌🏾.
walikua kitu kimoja,so jamaa wa kwanza alidai yule wa pili alkua ni baba ake,, kwaio anataka akatibiwe hapo,, ingawa hawakuja kwa pamoja,uyo mwingine alikuja akitembea taratibu kama mgonjwa akasalimia fresh na kutoa maelezo.🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Aiseee , huyo mtu mwingine alikusemesshaje mkuu, alikuita? Alikusalimia??
eewalikua kitu kimoja,so jamaa wa kwanza alidai yule wa pili alkua ni baba ake,, kwaio anataka akatibiwe hapo,, ingawa hawakuja kwa pamoja,uyo mwingine alikuja akitembea taratibu kama mgonjwa akasalimia fresh na kutoa maelezo.
Dawa zao ndo huisha ivo,usiposemeshwa na yeyote utafka nyumbani unamshangaa kila mtuAiseee Mungu alikuokoa
ee