Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 1,434
- 1,930
Yaani tuna mambo ya ajabu nchii hiiSi huwa mnapewa hela za goli la mama?
Yafe tu kwakweliNdo maana viongozi wakifa Wala sioni huruma eti
Kazi ya meneja wa uwanja siyo kukarabati uwanjaSielewi why hqdi leo Yule meneja Bado Ana kazi
Huyo ni mdogo sana,Sielewi why hqdi leo Yule meneja Bado Ana kazi
Hivi yanga walicheza final ya shirikisho lini?Salamu kwenu wadau wa mpira.
Imethibitika rasmi Simba sc atalazimika kutumia uwanja wa Aman Zanzibar kwenye mchezo wake wa mguu wa kwanza.
Oneni sasa nchi inaenda kuwa homeless kwenye michezo kwa vilabu vyake bila sababu za msingi kabisa.
Hela zimeidhinishwa, zikatoka, watu wamekula...bilion 30! Viongozi wapo.na uwanjani wanaenda na wanaona sawa.
Simba na Yanga zimefukuzwa kutumia uwanja wa mkapa toka 2023 ili kupisha ukarabati ambao ni zero ukiondoa kubadili taa.
Hivi kweli toka 2023 hadi leo 2025? Hii nchi gani hii..
Duration ya miaka miwili inatosha kufanya 100% construction ya kiwanja kipya......sasa kama tumeelezwa uwanja mpya wa Arusha utakamilika 2027 kutoka zero construction sembuse uwanja wa mkapa unaofanyiwa ukarabati pekee.
Hii ni aibu kwa Taifa.fikirieni vp kama uwanja wa Amani ungekuwa haujafanyiwa matengenezo.
Ndugu Washabiki hebu naomba tuwe serious..tubebeni mabango siku za mechi ya kulaani huu ufisadi.
Uwanja bado unaendelea na ukarabati, ndiyo maana kuna sehemu kubwa tu viti vimeng'olewa, acheni propaganda uchwaraCha ajabu wapiga kelele wa soka wanaojiita wachambuzi wote kimyaaaa. 30bn ndio imeenda hivyo. Fikiria ingekuwa AFCON imeeanza viwanja vyote vipo occupied. Zingepelekwa wapi hizo matches.
No reforms No election
Hizo hela zinaliwa na watu na watu wanaweza kuwa ndio nyinyi. Kwa hiyo hatutegemei kuku aje hapa kutetea waliokula helaUwanja bado unaendelea na ukarabati, ndiyo maana kuna sehemu kubwa tu viti vimeng'olewa, acheni propaganda uchwara
Hela za viti unatoa wewe?!Hizo hela zinaliwa na watu na watu wanaweza kuwa ndio nyinyi. Kwa hiyo hatutegemei kuku aje hapa kutetea waliokula hela