Tupazeni sauti zetu ukarabati hewa uwanja wa Mkapa

Tangu lini fainali ikachezwa kwenye nchi ya timu zinazoshiriki?
 
Sielewi why hqdi leo Yule meneja Bado Ana kazi
Uwe na Akili Aisee.
Usipende kuandika vitu ambavyo huvijui kabisa.

Nenda Gogle kasome kazi za Manager wa uwanja wa Taifa uondoe Upumbavu wako Kichwani.

Aina ya member kama nyie ni Aibu mno hapa JF.
 

HELA HAZIJAWAHI KUTOKA MNADANGANYWA NA MNAKUBALI TU.

YAANI SEELIKALI HAIJAWAHI KUTOA FEDHA ZA UKARABATI UWANJA WA TAIFA.
 
WAISLAMU KUPEWA NCHI KUONGOZA NCHI NI UKAFIRI MKUBWA SANA HIVI VIUMBE AVIJAWAI KUWA NA AKILI....VINATABIA YA KULINDA MAFISADI NA KUCHUKIA WAZALENDO NA UZALENDO πŸ‘‰πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©
Ukiwa komaa kwenye dini tulizoletewa na wakoloni mpaka mnafikia kubaguana ni kudumaza ubongo dini zimeletwa juzi tu hizi usiwabague watch kwa sababu ya dini Yao au makabila ni udumavu wa kufikiri.
 
Ukiwa komaa kwenye dini tulizoletewa na wakoloni mpaka mnafikia kubaguana ni kudumaza ubongo dini zimeletwa juzi tu hizi usiwabague watch kwa sababu ya dini Yao au makabila ni udumavu wa kufikiri.
Kwa hiyo ukweli (truths) ni ubaguzi πŸ™„πŸ™„
 
Uwanja umekarabatiwa nyie acheni majungu.Hamuoni pitch ilivyobadilika,hamuoni?
Mama amefanya makubwa,viti vingi ni vipya hata rangi wamepaka paka mule ndani hakika kuna pendeza.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ninyi wote hamna dini hakuna ukweli kama dini zenyewe ni za kurithi kutoka kwa Wakoloni.
Mimi nimeongelea upumbavu wa dini na madhara yake nani kakuambia mimi nina dini .... kwa Tanzania uislamu una madhara yake na ukristo hivyo hivyo sababu ni kutokuzijua dini na unafiki wa kidini ....kuhusu madhara ya waislamu wa Tanzania kwenye uongozi yapo dhahiri...sifa ya waislamu viongozi ni kutokujari taifa kutokujari masikini kutokujari wagonjwa (wao ndiyo walio leta mambo ya kulipia hadi maiti muhimbili na kupandisha dharama za matibabu kwenye hospital za serikali sasa hivi kulala kwenye bweni la muhimbili ni ghari kuliko kulala guest House...waislamu ni maadui no 1 wa uzalendo na wazalendo .....ufisadi mkubwa wote Tanzania wahisika wakuu ni waislamu ....ndiyo maana niliwaambia watz kuwa uislamu na ukristo haujaleta faida yoyote nchini hata moja ...ndiyo maana tunapinga mambo ya dini kwenye shule za elimu dunia ziwe za binafsi au serikali...ni upumbavu kuruhuse elimu za dini kwenye shule hizo.
 
Kabla ya kutoa lawama au kushutumu,fuatilia ujue huo mkataba wa ujenzi ulisainiwa lini,baina ta nani na nani,kwa kazi zipi na kwa gharama zipi.Baada ya hapo sasa nenda ukatafiti nini kimefanyika,nini hakijafanyika,ndipo sasa uje uandika uzi hapa utupnedhe kila kitu,unapoandika jumla jumla kama hivi,si haki kushutumu
 
Mpaka nikuulize Mara sita sita ndio unyooshe vizuri maelezo hapo tupo sawa unaambiwa Hospital ya Taifa Jina tu.
 
Panahitaji uchunguzi na taarifa za kweli...Haiwesekani 30 billion na hatuoni cha maana kilichofanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…