Duh!Tanzania tuna kasumba mbaya sana. Mtanzania jambo kama anaona halimuathiri moja kwa moja analipotezea, likija kumgusa ndiyo anaanza kulialia.
Simba iwe makini sana sana. Narudia tena, Simba iwe makini saaana. Inaweza kufanyiwa figisu ili itoke isifike fainali maana kama itafika fainali na isiweze kufanyikia Dar es Salaam, kelele za ukarabati wa Mkapa zitakuwa kubwa sana.
Viongozi waanze kuchunguzana kwa umakini na pia wachezaji wanaweza kutumika katika hujuma hii.
Meneja hana shida..Sielewi why hqdi leo Yule meneja Bado Ana kazi
Wewe Pimbi Kabisa, hivyo Thamani ya Pesa iliyotoka Kwa Ajiri ya Ukarabati unaoendelea pale Benjamin Mkapa Stadium Vinalingana? Toka Uwanja Uhanze kufanyiwa Ukarabati ni Muda Gani Sasa? Kwa uzembe huu Lazima Wizara ya Michezo iwajibike,Uwanja bado unaendelea na ukarabati, ndiyo maana kuna sehemu kubwa tu viti vimeng'olewa, acheni propaganda uchwara
Acha shobo, kaa kwa kutulia.Uwanja bado unaendelea na ukarabati, ndiyo maana kuna sehemu kubwa tu viti vimeng'olewa, acheni propaganda uchwara
Hakuna ukijuacho kaa kwa kutuliaTangu lini fainali ikachezwa kwenye nchi ya timu
Me ni kijana wa mamaWewe nyumbu unatokea?😎
Salamu kwenu wadau wa mpira.
Imethibitika rasmi Simba sc atalazimika kutumia uwanja wa Aman Zanzibar kwenye mchezo wake wa mguu wa kwanza.
Oneni sasa nchi inaenda kuwa homeless kwenye michezo kwa vilabu vyake bila sababu za msingi kabisa.
Hela zimeidhinishwa, zikatoka, watu wamekula...bilion 30! Viongozi wapo.na uwanjani wanaenda na wanaona sawa.
Simba na Yanga zimefukuzwa kutumia uwanja wa mkapa toka 2023 ili kupisha ukarabati ambao ni zero ukiondoa kubadili taa.
Hivi kweli toka 2023 hadi leo 2025? Hii nchi gani hii..
Duration ya miaka miwili inatosha kufanya 100% construction ya kiwanja kipya......sasa kama tumeelezwa uwanja mpya wa Arusha utakamilika 2027 kutoka zero construction sembuse uwanja wa mkapa unaofanyiwa ukarabati pekee.
Hii ni aibu kwa Taifa.fikirieni vp kama uwanja wa Amani ungekuwa haujafanyiwa matengenezo.
Ndugu Washabiki hebu naomba tuwe serious..tubebeni mabango siku za mechi ya kulaani huu ufisadi.
unakarabati miaka 100Uwanja bado unaendelea na ukarabati, ndiyo maana kuna sehemu kubwa tu viti vimeng'olewa, acheni propaganda uchwara
Ni kawaida watu msio na akili kujiona wajuajiH
Hakuna ukijuacho kaa kwa kutulia
Toa hela wakarabati chapuunakarabati miaka 100
Ajiri,uhanze,jifunze kiswahili kwanza...haya tuambie pesa kiasi gani imetokaWewe Pimbi Kabisa, hivyo Thamani ya Pesa iliyotoka Kwa Ajiri ya Ukarabati unaoendelea pale Benjamin Mkapa Stadium Vinalingana? Toka Uwanja Uhanze kufanyiwa Ukarabati ni Muda Gani Sasa? Kwa uzembe huu Lazima Wizara ya Michezo iwajibike,
Shauri yako😁Me ni kijana wa mama
CAG alisahau kupitia mahesabuSalamu kwenu wadau wa mpira.
Imethibitika rasmi Simba sc atalazimika kutumia uwanja wa Aman Zanzibar kwenye mchezo wake wa mguu wa kwanza.
Oneni sasa nchi inaenda kuwa homeless kwenye michezo kwa vilabu vyake bila sababu za msingi kabisa.
Hela zimeidhinishwa, zikatoka, watu wamekula...bilion 30! Viongozi wapo.na uwanjani wanaenda na wanaona sawa.
Simba na Yanga zimefukuzwa kutumia uwanja wa mkapa toka 2023 ili kupisha ukarabati ambao ni zero ukiondoa kubadili taa.
Hivi kweli toka 2023 hadi leo 2025? Hii nchi gani hii..
Duration ya miaka miwili inatosha kufanya 100% construction ya kiwanja kipya......sasa kama tumeelezwa uwanja mpya wa Arusha utakamilika 2027 kutoka zero construction sembuse uwanja wa mkapa unaofanyiwa ukarabati pekee.
Hii ni aibu kwa Taifa.fikirieni vp kama uwanja wa Amani ungekuwa haujafanyiwa matengenezo.
Ndugu Washabiki hebu naomba tuwe serious..tubebeni mabango siku za mechi ya kulaani huu ufisadi.
😆😆 Umemaliza mtaalam.Lakini si nyie mkiambiwa mtoke barabarani mnaulizia familia ya lissu?
Walisaini mkataba bwana na kampuni ya kichina kwa hiyo bid ya Bilion 30 Tshs.Kabla ya kutoa lawama au kushutumu,fuatilia ujue huo mkataba wa ujenzi ulisainiwa lini,baina ta nani na nani,kwa kazi zipi na kwa gharama zipi.Baada ya hapo sasa nenda ukatafiti nini kimefanyika,nini hakijafanyika,ndipo sasa uje uandika uzi hapa utupnedhe kila kitu,unapoandika jumla jumla kama hivi,si haki kushutumu
Msigwa ameshapost kujitetea huko nenda instaSalamu kwenu wadau wa mpira.
Imethibitika rasmi Simba sc atalazimika kutumia uwanja wa Aman Zanzibar kwenye mchezo wake wa mguu wa kwanza.
Oneni sasa nchi inaenda kuwa homeless kwenye michezo kwa vilabu vyake bila sababu za msingi kabisa.
Hela zimeidhinishwa, zikatoka, watu wamekula...bilion 30! Viongozi wapo.na uwanjani wanaenda na wanaona sawa.
Simba na Yanga zimefukuzwa kutumia uwanja wa mkapa toka 2023 ili kupisha ukarabati ambao ni zero ukiondoa kubadili taa.
Hivi kweli toka 2023 hadi leo 2025? Hii nchi gani hii..
Duration ya miaka miwili inatosha kufanya 100% construction ya kiwanja kipya......sasa kama tumeelezwa uwanja mpya wa Arusha utakamilika 2027 kutoka zero construction sembuse uwanja wa mkapa unaofanyiwa ukarabati pekee.
Hii ni aibu kwa Taifa.fikirieni vp kama uwanja wa Amani ungekuwa haujafanyiwa matengenezo.
Ndugu Washabiki hebu naomba tuwe serious..tubebeni mabango siku za mechi ya kulaani huu ufisadi.
Umefikiria kwa makini sana.Tanzania tuna kasumba mbaya sana. Mtanzania jambo kama anaona halimuathiri moja kwa moja analipotezea, likija kumgusa ndiyo anaanza kulialia.
Simba iwe makini sana sana. Narudia tena, Simba iwe makini saaana. Inaweza kufanyiwa figisu ili itoke isifike fainali maana kama itafika fainali na isiweze kufanyikia Dar es Salaam, kelele za ukarabati wa Mkapa zitakuwa kubwa sana.
Viongozi waanze kuchunguzana kwa umakini na pia wachezaji wanaweza kutumika katika hujuma hii.
Amesemaje? Wengine huwa hatutumii InstagramMsigwa ameshapost kujitetea huko nenda insta
Huu utakuwa upumbavu wa hali ya juu, wanatoa hela ya goli la mama badala ya kutoa hela ya ukarabati wa uwanja. Trump might be about us.HELA HAZIJAWAHI KUTOKA MNADANGANYWA NA MNAKUBALI TU.
YAANI SEELIKALI HAIJAWAHI KUTOA FEDHA ZA UKARABATI UWANJA WA TAIFA.