Tupazeni sauti zetu ukarabati hewa uwanja wa Mkapa

Jambo linalohusu ma mipira hasa ya simba na yanga kweli watanzania wanaweza kubeba mabango na hata kama police watawaua wote, ila si Kwa maswala ya utawala Bora na uuzwaji wa rasilimali za watanzania.
Mzee hakuna mwenye huo ubavu wa kubeba bango bongo hii.
 
Huko Aman hakulogeki?
 
Hii nchi ya ******* sana na watz ndio ******* wakuu, tunafanyiwa mambo ya hovyo hovyo kisha tupo kimya kama mizombi.
 
Kwa yanayoendelea kuhusu second leg ya final nimeukumbuka huu uzi.
 
Viongozi wa Tanzania hata aibu hawana mpka wanatia kinyaaaa yaaani ni wizi kwenda mbele mpka MWANA FA NAE kwa mumiami mchumia tumbo hakika ccm ninkichaka ja majambazi bashe yy anapiga kwenye RUZUKU MJINGA ANATAMANI HATA WATU WAPUMUE KWA RUZUKU YA SERIKARI AISEEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…