Tupe mkasa wako ulivyoishia kumuoa uliyedhani utapiga na kusepa

Hahaaa wadada wa huko Wana sura personal Sana, Ila jamaa avumilie tu hamna namna
Wabaya? Heri yako wewe mzuri. Ila kumbuka aliyekuumba wewe ndiye aliyewaumba wao.

Nyie wazungu wakiwaita manyani huwa mnapaniki sana ila waafrika kwa waafrika mnaitana wabaya.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo liko kwenye namna jamaa anavyohadithia matatizo ya huyo dada Nesi bila hata chembe ya huruma, yaani as if kafurahi!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
GULUGUJA?....We jamaa mpuuzi sana.
 
Nimecheka machozi🤣🤣🤣🤣
 
Dah!!! Nawe utalipwa mkuu.
 
Kuna mtu alifanya hivyo.
Akamkimbia.
Na katelekeza mtoto mpaka leo.
Yule dada kapanga chanika anafanya ujasiriamali.
Maskini kuna watu ni mashetani.
 
Hahahahha.....
Umenichekesha eti guluguja...
 
Guluguja? Dah!!!
 
Kuna malaya mmoja pale ambiance nilikua mteja wake adi akawa kama demu wangu kabisa, akija kazini akiona hakueleweki anakuja gheto kulala maana sikua naishi mbali sana na pale, tulijikuta tunapendana mno adi akaanza kua na wivu na mimi, akabeba mimba na kuzaa,
Akawa anasema natamani niolewe na wewe lakini najijua mimi sifai kua mke, nikimuuliza kwanini anadai anajijua tu, ila wee nakufanya kama mme wangu japo sitakuja kuishi na wewe.

Umalaya kaacha mwaka 2016 sa hivi ni mfanyabiashara mzuri baada ya kupata danga la maana hakua mtz alikuja kikzai ila alizunguka nae nchini mikoani miaka 2 ndio akapata mtaji,
Sasa hivi ana mimba yangu nyingine. Wa kwanza ana miaka 10.
 
kweli we samboko
 
naogopa mtoto kama ukoma,labda itokee bahati mbaya[emoji2]
kama mimba ni qualifucation wengine tutakufa bila mume
Sasa watajuaje kama kizazi hakijachezewa?
Anaogopa uje ukae nae miaka ipite bila mtoto
 
Huyu nesi naye ni mzembe sana, ameshindwa kupima jamaa ukimwi? Nimewahi kukutana na manesi kama mara 2. Yaani tukishazoeana kinachofuata anakuja na test kit ya HIV tunapima wote, tena mara 2 au 3 ndo zinaanza mechi za mchangani za pekupeku.
Wenye msimamo ni wachache sana kati yao mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…