Tupe mkasa wako ulivyoishia kumuoa uliyedhani utapiga na kusepa

Tupe mkasa wako ulivyoishia kumuoa uliyedhani utapiga na kusepa

Kosa lako ninaloliona hapa ni kumfata demu mwingine huku uko na mwingine. Nafikiri ulipaswa kuchagua moja tu. Kuwa na msimamo kuwa upo na huyu mwingine akatafute maisha mengine.
Hayo mengine ni makosa yake. Huwezi kukata tamaa sababu you are 29 na umeachwa. Wala kufika 30 sio sababu ya kufanya mwanamke hakubali mwanaume mradi katamka ndoa.
Pengine alipangiwa mwanaume bora kuliko wewe lakini pupa ikampeleka pabaya.
Kuna umuhimu mkubwa sana wa kukaa ndani ya misingi ya dini au mila na desturi zetu. Otherwise effect kama hizi ni kubwa sana.
Uko sawa. Lakini hili huwa naliangalia kwa jicho jingine. Kwamba everything happens for a reason.

Kwa sababu baada ya kuoa huyu mke ambaye kaja ghafla na kumuacha nesi, nilipoanza ishi na huyu mke nkajagundua she is my wife niliyeumbiwa. Sababu ya namna tunavoendana, kuelewana.

Ndoa yangu ni tamu mno. Naweza sema mke wangu ni soul mate ambaye sikuexpect kabisa. Sometime huwa naenda mbali na kuwaza this marriage is the best compared na nngemuoa nesi. Huenda labda nngemuoa nesi kisa tuu nmedumu nae katka mahusiano basi ndoa ingekua ngumu.
 
Uko sawa. Lakini hili huwa naliangalia kwa jicho jingine. Kwamba everything happens for a reason.

Kwa sababu baada ya kuoa huyu mke ambaye kaja ghafla na kumuacha nesi, nilipoanza ishi na huyu mke nkajagundua she is my wife niliyeumbiwa. Sababu ya namna tunavoendana, kuelewana.

Ndoa yangu ni tamu mno. Naweza sema mke wangu ni soul mate ambaye sikuexpect kabisa. Sometime huwa naenda mbali na kuwaza this marriage is the best compared na nngemuoa nesi. Huenda labda nngemuoa nesi kisa tuu nmedumu nae katka mahusiano basi ndoa ingekua ngumu.
Kwahiyo wakati unamnyandua nesi haukujua kama mnaendana?
Hii itarudi tu kwako haiwezi kukuacha salama
 
Watu wamekuwa emotional sana kuhusu story ya Nurse, pamoja na kuwa aliumizwa roho kwa kuachwa, mwisho wa siku maisha ni yako na jukumu la kujitunza ni lako binafsi.Kama mtu ambaye anafanya kazi za afya ilibidi awe makini zaid kwa vitu kama iv,kupata HIV kwa ngono kisa unataka mtoto inaleta maswali mengi kuhusu umakini wa huyo demu.Ingawa wote hatujui kesho lakin,kuna kujitahidi.
Ilobakia kuombeana,kuna dawa nzuri siku hizi anaweza kuishi maisha ya furaha na amani akipata support nzuri.
 
Wewe kweli mcheza kamari
huwa natongoza dem bila kumwambia neno "nampenda" na ninamla naachana nae bila kumuita jina "mpenzi" hata siku moja
Mara ya mwsho nimeachana na dem kisa aliniuliza mimi ni nani kwako? Ase nikashindwa kutamka kuwa yeye ni "mpenzi wangu" nikawa najizungusha tu namwambia Kwan wewe hujui ni nan kwangu? Had tukagombana kisa sitak kumwambia yeye ni mpenzi...

Kwahiyo kwa kifup hiyo hali unayo iongelea sijawahi kukutana nayo
 
Huwa nachukia sana hii dhana potofu. Sasa watoto wake wanahusika vp hapo wakulipa ni yeye mwenyewe.
Wewe mwenyewe pengine kuna jambo unalilipa wazazi wako walifanya huko nyuma.
Ula hujui tu.
Maisha yako hivyo.na wala si dhana.
 
I reserve my comment nitarudi nikifanikiwa kuongeza bando[emoji1787][emoji1787]
 
Ana ukatili fulani hivi

Ni aina ya wanaume wengi akikuacha anataka yakukute ( kama ya nesi wake)huoni anahadithia kwa madaha as if ni kitu kizuri, bad enough huyo nesi hajawahi mkosea lolote ( kutokana na maelezo yake)

Uzuri liko litakalompata kufidia kwa aliyomfanyia it's just a matter of time[emoji848]
Hizo ni story tu,ndoa hupangwa na huyo aliemuoa ndio chaguo lako.
Nesi kashindwa kutumia taaluma yake ya unesi kamegwa bila kinga kaunyaka..ndoa hailazimishwi ukiforce ndio zile miaka miwili chali
 
Acha uongo mkuu binadamu wote kuna watu ambao wanaondoka maishani mwako automatic unachomlaumu jamaa apo ni nini maana hakumuacha na ukimwi wala mtoto bidada amepata matatizo ndyo lakin siyo kuwa jamaa ndyo kamsababishia kuwa na miaka 29 haimaanishi kuwa wewe ndyo ujiachie utakavyo kuachwa na mkeo siyo sababu ya wewe kunywa pombe na kuchakata k ovyo alafu badaye uje kimbebesha mkeo lawama kisa alikuacha

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Sahihi kabisaaaa....
 
Mkuu nmekupata.. lakini kosa nililofanya hapo si kutomuoa nesi. Sababu hata ningeamua kumuoa nesi ningetesa hisia za huyu mama kijacho aliyeshika mimba yangu. So sikua na option..

Kosa nililofanya ni kutokua mwaminifu na kuanza kucheat na mwanamke mwingine. Hilo nalikubali.

Na kosa jingine nadhan members wengi humu hawajanielewa ni namna nilivosimulia.. as if ni kitu poa. Nakiri usimuliaji haujakaa sawa. Lakini si kitu poa, na nesi nipo nae fresh na iliniuma saana situation aliyopitia.
Huyo nesi hakua mkeo hakuna lolote litakalo kutokea,hao wanaosema hivyo unakuta alikua na wanaume 5 kaolewa na yule aliemuona anakitu.
Nesi nae alikua anapambana kupata bwana ndio hivyo tena ajali kazini
 
Back
Top Bottom