DAVID PALMER
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 318
- 1,597
Uko sawa. Lakini hili huwa naliangalia kwa jicho jingine. Kwamba everything happens for a reason.Kosa lako ninaloliona hapa ni kumfata demu mwingine huku uko na mwingine. Nafikiri ulipaswa kuchagua moja tu. Kuwa na msimamo kuwa upo na huyu mwingine akatafute maisha mengine.
Hayo mengine ni makosa yake. Huwezi kukata tamaa sababu you are 29 na umeachwa. Wala kufika 30 sio sababu ya kufanya mwanamke hakubali mwanaume mradi katamka ndoa.
Pengine alipangiwa mwanaume bora kuliko wewe lakini pupa ikampeleka pabaya.
Kuna umuhimu mkubwa sana wa kukaa ndani ya misingi ya dini au mila na desturi zetu. Otherwise effect kama hizi ni kubwa sana.
Kwa sababu baada ya kuoa huyu mke ambaye kaja ghafla na kumuacha nesi, nilipoanza ishi na huyu mke nkajagundua she is my wife niliyeumbiwa. Sababu ya namna tunavoendana, kuelewana.
Ndoa yangu ni tamu mno. Naweza sema mke wangu ni soul mate ambaye sikuexpect kabisa. Sometime huwa naenda mbali na kuwaza this marriage is the best compared na nngemuoa nesi. Huenda labda nngemuoa nesi kisa tuu nmedumu nae katka mahusiano basi ndoa ingekua ngumu.