Tupe mkasa wako ulivyoishia kumuoa uliyedhani utapiga na kusepa

Ulimwambia unaitwa Kelvin[emoji38]

Jina hilo linatumika sana na wazandiki
Nna jina langu lingine...nilimwambia naitwa gerald ilo jina la id hapo....aisee tumesonga weee nikakolea kushift sasa from uongo name to real name ikabd nimwambie ujue nn??

Mimi bana jina langu la kwenye vyeti ni hili ila hili la gerald ni mtaani kwetu...sidhani kama alielewa ila maisha yakaendelea mpaka leo niko nae hapa
 
Ebwanaee ka muvi hivi [emoji849][emoji849]

Umemfanyia vibaya huyo nesi, kuna siku utazilipia hizo gharama za mateso yake, amini
Acha uongo mkuu binadamu wote kuna watu ambao wanaondoka maishani mwako automatic unachomlaumu jamaa apo ni nini maana hakumuacha na ukimwi wala mtoto bidada amepata matatizo ndyo lakin siyo kuwa jamaa ndyo kamsababishia kuwa na miaka 29 haimaanishi kuwa wewe ndyo ujiachie utakavyo kuachwa na mkeo siyo sababu ya wewe kunywa pombe na kuchakata k ovyo alafu badaye uje kimbebesha mkeo lawama kisa alikuacha

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Kwa kweli ni atakuwa na moyo mgumu sana mpaka anapata nguvu ya kuadithia hivi, au labda ndio wale wanaojiita mabaharia na kwa kufanya mpaka yakatokea hayao anaona ndio ubaharia.....anyway dunia ni mapito.
Hapana boss.. nmesimulia tuu... ila namuonea huruma binti as long as hajawah nikosea.... ni wife material na mtu poa.. lkn mmgefanyaje kwa mazingira hayo??
 
It's seems you are not sorry to your x na unafurahia majanga yake?
Not at all.. I love her na najisikia vibaya mno kuhusu yeye. Na huwa najaitahidi kumwambia popote atakapokwama anambie me ntampa sapoti. Na nina utayari kwa lolote ataloomba. Ni vile tuu hajawah nambia..
 
Imemtokea home boy tumepiga nae primary till now bado ni marafiki wakubwa sana.

Jamaa akiwa chuo alijichanganya akaopoa tu demu simple wa kusuzia rungu. Basi katika kusuza suza kitu kikajipa demu akapata ujauzito. Kutoa taarifa kwao wazazi wa mwanamke wakasala sana, walikua wachungaji wenye heshima kubwa sana kwenye jamii yao so hio kwao ikawa ni kama aibu na dhambi kubwa sana si mnajua pigo za ndugu zetu walokole.
Jamaa wazazi wake wakajitahidi ku solve ili mwana asioe maana aliwambia kua alikua anapita tu hakua na anampenda kiasi cha kumuoa, wazee wake wame solve walikua wapo tayari kutoa hata pesa lakini baba ake mwanamke (mchungaji) alikataa katakata.
Basi kukawa hakuna jinsi zaidi ya jamaa kuoa, kiukweli demu alikua wa uongo (hata jamaa alichukulia wa kuzugia)

Mwanzo jamaa akawa ananiambia bro make sure haufanyi mistake kama hii, pia alikua na mawazo mengi kiasi kwamba ukijua yaliyomsibu unajua kabisa he is not happy.
Lakini sasa hivi jamaa hua ananiambia kua anampenda sana na alianza kumpenda baada ya kuanza kuishi nae, jinsi mwanamke anavyomvumilia wakati hana kitu, akili yake ya maisha, na anavyomsaidia kutafuta na ku save kumefanya ampende zaidi na kujiona ana bahati kua naye kiasi cha kujutia kitendo chake cha kutaka kumuacha kwenye mataa mwanzoni.

Ndoa yao sasahivi ina miaka mitano, wana watoto tayari na wana furahia maisha hata ukiwaona unasema kabisa hawa watu kweli wanapendana.
 
Hapana boss.. nmesimulia tuu... ila namuonea huruma binti as long as hajawah nikosea.... ni wife material na mtu poa.. lkn mmgefanyaje kwa mazingira hayo??
Kosa lako ninaloliona hapa ni kumfata demu mwingine huku uko na mwingine. Nafikiri ulipaswa kuchagua moja tu. Kuwa na msimamo kuwa upo na huyu mwingine akatafute maisha mengine.
Hayo mengine ni makosa yake. Huwezi kukata tamaa sababu you are 29 na umeachwa. Wala kufika 30 sio sababu ya kufanya mwanamke hakubali mwanaume mradi katamka ndoa.
Pengine alipangiwa mwanaume bora kuliko wewe lakini pupa ikampeleka pabaya.
Kuna umuhimu mkubwa sana wa kukaa ndani ya misingi ya dini au mila na desturi zetu. Otherwise effect kama hizi ni kubwa sana.
 
Siku zote ukweli unatuweka huru, putting yourself first is not a selfish (kama aliamua kua na mwingine sio kosa ila alitakiwa kumuambia yule wa kwanza ukweli) mapema kabisa.
 
Katika maisha ya vijana wengi mahusiano mengi yanakiwaga ni mwanaume kumtamani zaidi mwanamke hivyo mwanamke hugeuzwa chombo cha kustarehesha viungo vya mwanaume,

Hapo mwanaume nae mara nyingi anakuwa na plan zake kwamba hapa najipigia tu, nikimchoka naenda kwengine.

Hali inaweza kuwa tofauti mwanaume ukakolea kweli kweli kwa huyo binti unaemchukulia poa ambae huwa unajipigiaga tu,

Baada ya muda waweza kuta mazingira yamekufanya tu uvute kabisa jiko ndani.

Tupe mkasa wako
Miaka ya nyuma kidogo kuna jamaa yangu alienda mbeya huko vijijini ndani ndani kuna mishe gani sijui alikua anapiga huko. Sasa jamaa kutokana na hali ya kule baridi na nini akakamatia guluguja moja matata akawa anasogeza nalo siku kiaina. Mara paap.. likanasa ujauzito! Jamaa kapambana nalo sana litoe likagoma kabisaa na likaamua kuhamia geto anapokaa mshkaji likadai limefukuzwa kwao.

Jamaa kuona ivyo akaona isiwe tabu akali taimu akabeba vitu vyake vichache akaliachia geto yeye akarudi zake chuga maskani. Maisha yakaendelea kama kawaida jamaa akasahau kabisa kuhusu lile guluguja tukawa tunagombania magoli kitaa.

Siku ya siku tumekaa zetu kibarazani tunapiga stori mbili tatu na mwana mara tunaona polygon shape moja ina tumbo kubwaa inakuja uelekeo wetu. Kadri ilivyokua inatusogelea ndio mwana anazidi kuwa mwekundu maana jamaa alikua mweupe. Aisee jamaa hakuamini lile guluguja limekuja likiulizia mpaka likafika home!! Jamaa ndio kukalishwa na wazee pale akabanwa akakubali kweli yeye ni mhusika. Basi ikabidi jamaa awe mpole tuu na guluguja lake sasa atafanyaje? Mtoto amekuja kuzaliwa yaani ni fotokopi huulizi kitu. Mpaka leo tunavyoongea jamaa yuko na guluguja lake maisha yanaenda.
 
Dah huyo guluguja embu weka na picha tuone usikute ndio naishi na shape kama iyo

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Back 2018 niliachana na dem wangu june bhs wkt nipo kitaa kuna jamaa wa saloon alikonekt kwa uyu dada nimsaidie setup za iphone me ndo nilikua mtaalam wa iphone bhs nikamsaidia pale hta sina time nae hapo me single. Mwishoe dada akaomba namba angu alikuw bint mdogo sana wa 20yrs mwsho wa siku tukaanza chats kwa sana nikasema wacha nimtongoze niwe najilia tu, nilivotupia ngoma ikasign in. Kwenye kumla ndo nilipata shida sana kila nikiplan nimgonge anakaza ikakatika 4 months december akanipa 22/12 nakumbuka hii siku nakula tunda[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119], hapo nikawa nishakolea mhun ndo mpaka leo tupo pamoja [emoji23]
 
Miaka ya nyuma kidogo kuna jamaa yangu alienda mbeya huko vijijini ndani ndani kuna mishe gani sijui alikua anapiga huko. Sasa jamaa kutokana na hali ya kule baridi na nini akakamatia guluguja moja matata akawa anasogeza nalo siku kiaina. Mara paap.. likanasa ujauzito! Jamaa kapambana nalo sana litoe likagoma kabisaa na likaamua kuhamia geto anapokaa mshkaji likadai limefukuzwa kwao.

Jamaa kuona ivyo akaona isiwe tabu akali taimu akabeba vitu vyake vichache akaliachia geto yeye akarudi zake chuga maskani. Maisha yakaendelea kama kawaida jamaa akasahau kabisa kuhusu lile guluguja tukawa tunagombania magoli kitaa.

Siku ya siku tumekaa zetu kibarazani tunapiga stori mbili tatu na mwana mara tunaona polygon shape moja ina tumbo kubwaa inakuja uelekeo wetu. Kadri ilivyokua inatusogelea ndio mwana anazidi kuwa mwekundu maana jamaa alikua mweupe. Aisee jamaa hakuamini lile guluguja limekuja likiulizia mpaka likafika home!! Jamaa ndio kukalishwa na wazee pale akabanwa akakubali kweli yeye ni mhusika. Basi ikabidi jamaa awe mpole tuu na guluguja lake sasa atafanyaje? Mtoto amekuja kuzaliwa yaani ni fotokopi huulizi kitu. Mpaka leo tunavyoongea jamaa yuko na guluguja lake maisha yanaenda.

Nimefika katikati nimecheka sana mpaka machozi. Eti kuangalia huyo hapo anakuja!!
 
Mi hiyo siku nilikuwa pahala nakula kula mtindi ghafla nikapata hamu ya kupiga manyama ndani manyama nje papuchi mpya.Kila manzi naemseti anaruka .Nikarudi kwenye simu pekenyua namba za akiba Kila mwanamke naemcheki anachomoa.Nikamcheki jamaa yangu akaniambia ana namba ya mtoto mmoja ila anamuona Kama wenge hivi.Nikwamwambia nipe hiyo hiyo .Kunipa nikakapigia nikakaambia Kuna twenty kaje nikakaburuze kakakubali bwana.Kuja kukaona aisee sijawahi kuona demu mpole Kama yule mpaka nikamuhurumia.Akanipa stori yake kwanini amekubali kirahisi hivyo.Nikampa ile 20 nikapiga kizembe .Kwa matatizo madogo madogo nikakaambia kawe kananipa info natatua.Nimechoka kusimulia Ila kwa Sasa ni tunapika na kupakua.
 
Nakumbuka nimetoka zangu mkoa fulani life limenipiga vbaya mno nikapita kwa jamaa angu fulani kumpa hi gafla ikapita pini moja matata sana ikabidi nimwambie mwana vp naweza kukaa hapo akanambia barida tu akanifanyia mpango wa no mbishi nikaanza mambo, huwezi amini mimi nilikuwa sina demu wa kupunguza ungenge nkasema nshajipatia mtoto wa kupunguza ungenge dah nilikuwa najipigia sana aisee kila mtu akakolea kwa mwenzake mwisho wa siku ndoa imejipa kwa sasa tunatafuta mtoto wa pili mana uyu wa kwanza anapata shida kucheza Ila nataman nitiririke mkasa mzm lkn inatosha wadau
 
Miaka ya nyuma kidogo kuna jamaa yangu alienda mbeya huko vijijini ndani ndani kuna mishe gani sijui alikua anapiga huko. Sasa jamaa kutokana na hali ya kule baridi na nini akakamatia guluguja moja matata akawa anasogeza nalo siku kiaina. Mara paap.. likanasa ujauzito! Jamaa kapambana nalo sana litoe likagoma kabisaa na likaamua kuhamia geto anapokaa mshkaji likadai limefukuzwa kwao.

Jamaa kuona ivyo akaona isiwe tabu akali taimu akabeba vitu vyake vichache akaliachia geto yeye akarudi zake chuga maskani. Maisha yakaendelea kama kawaida jamaa akasahau kabisa kuhusu lile guluguja tukawa tunagombania magoli kitaa.

Siku ya siku tumekaa zetu kibarazani tunapiga stori mbili tatu na mwana mara tunaona polygon shape moja ina tumbo kubwaa inakuja uelekeo wetu. Kadri ilivyokua inatusogelea ndio mwana anazidi kuwa mwekundu maana jamaa alikua mweupe. Aisee jamaa hakuamini lile guluguja limekuja likiulizia mpaka likafika home!! Jamaa ndio kukalishwa na wazee pale akabanwa akakubali kweli yeye ni mhusika. Basi ikabidi jamaa awe mpole tuu na guluguja lake sasa atafanyaje? Mtoto amekuja kuzaliwa yaani ni fotokopi huulizi kitu. Mpaka leo tunavyoongea jamaa yuko na guluguja lake maisha yanaenda.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] guluguja oyeeeeee
 
Back
Top Bottom