Boveta
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,174
- 3,804
Okay, Mungu akupe hitaji la nafsi yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay, Mungu akupe hitaji la nafsi yako.
Polygon shape daaaaa.Miaka ya nyuma kidogo kuna jamaa yangu alienda mbeya huko vijijini ndani ndani kuna mishe gani sijui alikua anapiga huko. Sasa jamaa kutokana na hali ya kule baridi na nini akakamatia guluguja moja matata akawa anasogeza nalo siku kiaina. Mara paap.. likanasa ujauzito! Jamaa kapambana nalo sana litoe likagoma kabisaa na likaamua kuhamia geto anapokaa mshkaji likadai limefukuzwa kwao.
Jamaa kuona ivyo akaona isiwe tabu akali taimu akabeba vitu vyake vichache akaliachia geto yeye akarudi zake chuga maskani. Maisha yakaendelea kama kawaida jamaa akasahau kabisa kuhusu lile guluguja tukawa tunagombania magoli kitaa.
Siku ya siku tumekaa zetu kibarazani tunapiga stori mbili tatu na mwana mara tunaona polygon shape moja ina tumbo kubwaa inakuja uelekeo wetu. Kadri ilivyokua inatusogelea ndio mwana anazidi kuwa mwekundu maana jamaa alikua mweupe. Aisee jamaa hakuamini lile guluguja limekuja likiulizia mpaka likafika home!! Jamaa ndio kukalishwa na wazee pale akabanwa akakubali kweli yeye ni mhusika. Basi ikabidi jamaa awe mpole tuu na guluguja lake sasa atafanyaje? Mtoto amekuja kuzaliwa yaani ni fotokopi huulizi kitu. Mpaka leo tunavyoongea jamaa yuko na guluguja lake maisha yanaenda.
Si nimesema hapo nimeoa dada niliyekuwa mteja wakeWewe umeoa au bado upo kwenu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi mwenyewe nimecheka mpaka noma aseeeNimefika katikati nimecheka sana mpaka machozi. Eti kuangalia huyo hapo anakuja!!
ndio uonege[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Huyo jamaa alikuwa chizi[emoji23][emoji23][emoji23]
Duuuh wewe legend mzeee...!!Kuna mwanamke alikuwa dadapoa nilikuwa mteja wake kwa muda mrefu sasa hivi ndio wife
Huyu nesi naye ni mzembe sana, ameshindwa kupima jamaa ukimwi? Nimewahi kukutana na manesi kama mara 2. Yaani tukishazoeana kinachofuata anakuja na test kit ya HIV tunapima wote, tena mara 2 au 3 ndo zinaanza mechi za mchangani za pekupeku.Duuh! Huna chochote kinachosuta moyo au? Daah! Anatia huruma sana huyo Nesi
Du.ila ipo siku utakuja kulipa karmaBaada ya kumaliza chuo, nikatafuta kashule kujishikiza nikisubiri ajira ya nilichosomea. Kuna wiki nilikua mwalimu wa zamu, ukiwa zamu unakaa skuli hadi weekends jmos na j2.
Sasa jumamosi hiyo akaja huyo binti. Aliwahi soma hapo kabla sijaja, kaja kufata vyeti vyake.. nkamwambia vyeti vinakaa ofisi ya mkuu, na mkuu yupo siku za kazi. Nikachukua namba kwamba jumatatu kabla hajaja nimcheki kama mkuu yupo au laa.
Siku ile ile nkaanza mtongoza kwa simu. Na wakati huo plan yangu ilikua nipite tuu maana nilikua na mchumba wangu nesi ambae nasubiri nipate ajira rasmi nioe.
Siku nyingine ya kazi kaja kuchukua cheti, jioni kapitia geto, ingawa alininyima mzigo kisa bado mapema.. ila weekend inayofata alikuna geto na akanipa mzigo.
So nikawa na mademu wawili rasmi. Tatzo likaanza, nkaona namna anavonihendo huyu denti, ni tofauti na mchumba wangu nesi.
Denti akawa so romantic, ananiita mume wangu, ananijali mno. Basi nkawa naendelea kumla. Ghafla mimba hii hapa. Na nilijiwekeaga kwamba sitakuja kutoa mimba yangu. Nkasema usitoe ntaitunza.
Nahisi kwao walimshawishi ahamie maana nkaona anahamishia kimoja kimoja. Siku akija geto anaondoka baada ya siku 3, mara wiki mara akahamia mazima..
Nkafanya process za posa, nkalipa mahali, akajifungua sahv dogo ana 4yrs. Mwaka jana 2019 nmefunga nae ndoa. Na sahiv ni mama k.
Back to nesi, ile me kuoa ilimvuruga sana. Sababu anasema alikataa wengi kisa alikua na uhakika na mimi. Age ilikua imesonga alkua na 27yrs ile 2017. Mwaka jana nilipofunga ndoa yeye akiwa na 29yrs akagive up kuhusu kuolewa, akaamua atafute mtoto.. katka kutafuta mtoto akakutana na jamaa kumbe ni hiv +. So nesi nae akaukwaa. Mimba akipata zinatoka. Hadi sahv bado hajapata.. (Hizi story nazipata kwa shosti yake ambae me ni rafiki)
Karidhika kabisa na alichofaya.[emoji849] asipolipa yy hata kwa watoto wake.Ana ukatili fulani hivi
Ni aina ya wanaume wengi akikuacha anataka yakukute ( kama ya nesi wake)huoni anahadithia kwa madaha as if ni kitu kizuri, bad enough huyo nesi hajawahi mkosea lolote ( kutokana na maelezo yake)
Uzuri liko litakalompata kufidia kwa aliyomfanyia it's just a matter of time[emoji848]
Tena kwa umri huo wa nesi ni lazima tu angekuwa frustrated jamani na kufanya lolote tu,,,pole yake nesi wa watuKaridhika kabisa na alichofaya.[emoji849] asipolipa yy hata kwa watoto wake.
Malipo yapo.
Nimeumia kwa ajili ya nesi[emoji24]
MUNGU atamsaidiaTena kwa umri huo wa nesi ni lazima tu angekuwa frustrated jamani na kufanya lolote tu,,,pole yake nesi wa watu
Hivi sista wee ni ..... eeh?! Naona tu unavoandikagaNimeshangaa anavyohadithia kuhusu nurse.
As if ni kitu poa.
Mkuu TheChoji samahani, unamwita nani Guluguja?Miaka ya nyuma kidogo kuna jamaa yangu alienda mbeya huko vijijini ndani ndani kuna mishe gani sijui alikua anapiga huko. Sasa jamaa kutokana na hali ya kule baridi na nini akakamatia guluguja moja matata akawa anasogeza nalo siku kiaina. Mara paap.. likanasa ujauzito! Jamaa kapambana nalo sana litoe likagoma kabisaa na likaamua kuhamia geto anapokaa mshkaji likadai limefukuzwa kwao.
Jamaa kuona ivyo akaona isiwe tabu akali taimu akabeba vitu vyake vichache akaliachia geto yeye akarudi zake chuga maskani. Maisha yakaendelea kama kawaida jamaa akasahau kabisa kuhusu lile guluguja tukawa tunagombania magoli kitaa.
Siku ya siku tumekaa zetu kibarazani tunapiga stori mbili tatu na mwana mara tunaona polygon shape moja ina tumbo kubwaa inakuja uelekeo wetu. Kadri ilivyokua inatusogelea ndio mwana anazidi kuwa mwekundu maana jamaa alikua mweupe. Aisee jamaa hakuamini lile guluguja limekuja likiulizia mpaka likafika home!! Jamaa ndio kukalishwa na wazee pale akabanwa akakubali kweli yeye ni mhusika. Basi ikabidi jamaa awe mpole tuu na guluguja lake sasa atafanyaje? Mtoto amekuja kuzaliwa yaani ni fotokopi huulizi kitu. Mpaka leo tunavyoongea jamaa yuko na guluguja lake maisha yanaenda.
Mimi ni nani?Hivi sista wee ni ..... eeh?! Naona tu unavoandikaga
TicheriMimi ni nani?
Hii code yako ngumu sana.Ticheri
Mkuu Clinker belite nimesikitishwa sana na feedback yako kuhusu nesi,imeniuma mno,,but anyway hatujui mengi,ila as far as am concerned nimeona hujataja kama nesi alikuwa na tatizo lolote kwenye uhusiano wenu,Baada ya kumaliza chuo, nikatafuta kashule kujishikiza nikisubiri ajira ya nilichosomea. Kuna wiki nilikua mwalimu wa zamu, ukiwa zamu unakaa skuli hadi weekends jmos na j2.
Sasa jumamosi hiyo akaja huyo binti. Aliwahi soma hapo kabla sijaja, kaja kufata vyeti vyake.. nkamwambia vyeti vinakaa ofisi ya mkuu, na mkuu yupo siku za kazi. Nikachukua namba kwamba jumatatu kabla hajaja nimcheki kama mkuu yupo au laa.
Siku ile ile nkaanza mtongoza kwa simu. Na wakati huo plan yangu ilikua nipite tuu maana nilikua na mchumba wangu nesi ambae nasubiri nipate ajira rasmi nioe.
Siku nyingine ya kazi kaja kuchukua cheti, jioni kapitia geto, ingawa alininyima mzigo kisa bado mapema.. ila weekend inayofata alikuna geto na akanipa mzigo.
So nikawa na mademu wawili rasmi. Tatzo likaanza, nkaona namna anavonihendo huyu denti, ni tofauti na mchumba wangu nesi.
Denti akawa so romantic, ananiita mume wangu, ananijali mno. Basi nkawa naendelea kumla. Ghafla mimba hii hapa. Na nilijiwekeaga kwamba sitakuja kutoa mimba yangu. Nkasema usitoe ntaitunza.
Nahisi kwao walimshawishi ahamie maana nkaona anahamishia kimoja kimoja. Siku akija geto anaondoka baada ya siku 3, mara wiki mara akahamia mazima..
Nkafanya process za posa, nkalipa mahali, akajifungua sahv dogo ana 4yrs. Mwaka jana 2019 nmefunga nae ndoa. Na sahiv ni mama k.
Back to nesi, ile me kuoa ilimvuruga sana. Sababu anasema alikataa wengi kisa alikua na uhakika na mimi. Age ilikua imesonga alkua na 27yrs ile 2017. Mwaka jana nilipofunga ndoa yeye akiwa na 29yrs akagive up kuhusu kuolewa, akaamua atafute mtoto.. katka kutafuta mtoto akakutana na jamaa kumbe ni hiv +. So nesi nae akaukwaa. Mimba akipata zinatoka. Hadi sahv bado hajapata.. (Hizi story nazipata kwa shosti yake ambae me ni rafiki)
Nimeliandika kwa kiswahili ndo maanaHii code yako ngumu sana.