Tupe mkasa wako ulivyoishia kumuoa uliyedhani utapiga na kusepa

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Katika maisha ya vijana wengi mahusiano mengi yanakuwaga ni mwanaume kumtamani zaidi mwanamke hivyo mwanamke hugeuzwa chombo cha kustarehesha viungo vya mwanaume.

Hapo mwanaume nae mara nyingi anakuwa na plan zake kwamba hapa najipigia tu, nikimchoka naenda kwingine.

Hali inaweza kuwa tofauti mwanaume ukakolea kweli kweli kwa huyo binti unaemchukulia poa ambae huwa unajipigiaga tu,

Baada ya muda waweza kuta mazingira yamekufanya tu uvute kabisa jiko ndani.

Tupe mkasa wako

1624004959529.png

Dah, huu sio mkasa wangu ila ni wa mtu ninayemjua. Jamaa alikua ana tabia flani ya kiboya ya kutoa chasing a.k.a chabo...ilikua miaka ya 2006 alikuja na mwanamke akaingia naye geto akaandaa utopolo wake wa kuweka watu dirishani wakasikilizia sauti na miguno kwanza badae akalifungua kimtindo panzia huku akiwa yeye chini mwanamke juu lakini mpaka leo hii ni mkewe halali wa ndoa na watoto wawili wamepata.
 
Dah,huu sio miasa wangu ila ni wa mtu ninayemjua. Jamaa alikua ana tabia flani ya kiboya ya kutoa chasing a.k.a chabo...ilikua miaka ya 2006 alikuja na mwanamke akaingia naye geto akaandaa utopolo wake wa kuweka watu dirishani wakasikilizia sauti na miguno kwanza badae akalifungua kimtindo panzia huku akiwa yeye chini mwanamke juu lakini mpaka leo hii ni mkewe halali wa ndoa na watoto wawili wamepata.
Huyo jamaa alikuwa chizi😂😂😂
 
Honestly sikua na mpango naye kabisa japo alifit profile, akazidisha mazoea nakupelekea mabadiliko kidogo ya plan na kuwa ni hit and run, lkn nikiri huyu alinizidi kete, kabla sijajua tayari anamimba yangu ya miezi miwili na sipo tayari kwa abortion pia ni single mother Mungu katujalia sasa nalea [emoji128] yangu
Btw anamleta binti yetu kulala.

Sent from my A1601 using JamiiForums mobile app
 
Mama watoto nilikutana nae ofisi flani yupo field, na Mimi namishe zangu za ofisi. Kisela Tu nikachukua namba, kwamba ntakomaa nipite kisha nisepe. Sikuwa na issue nae kiiivo. Ebana we, nikapita kweli kisela, Mtoto akaelewa shoo ya Mtaa, akaenda Chuo, akatoroka akarudi Kwa msela, Nikakaa nae geto kama week, kisha akasepa chuo.

Baada ya Mwezi, ananipa habari Mjamzito. Sikuwa na mpango wa kuoa, ila pia tayari nilikuwa nafanya mishe zangu za maisha Tu, chuo nishamaliza kama miaka miwili imepita. Nikapiga hesabu kwani kitu gani kinanizuia nisioe, ? Nikaona potelea mbali uchawi hauji Kwa mentali, nikatafuta wazee wangu wa Mtaa, nikawapa barua ya posa wapeleke, wakapeleka , ikapokelewa , baada ya hapo , Hadi leo tunaishi kama Mume na mke.
 
Katika maisha ya vijana wengi mahusiano mengi yanakiwaga ni mwanaume kumtamani zaidi mwanamke hivyo mwanamke hugeuzwa chombo cha kustarehesha viungo vya mwanaume,

Hapo mwanaume nae mara nyingi anakuwa na plan zake kwamba hapa najipigia tu, nikimchoka naenda kwengine.

Hali inaweza kuwa tofauti mwanaume ukakolea kweli kweli kwa huyo binti unaemchukulia poa ambae huwa unajipigiaga tu,

Baada ya muda waweza kuta mazingira yamekufanya tu uvute kabisa jiko ndani.

Tupe mkasa wako
Nikifkia stage iyo nrarudi kukomenti
 
Honestly sikua na mpango naye kabisa japo alifit profile, akazidisha mazoea nakupelekea mabadiliko kidogo ya plan na kuwa ni hit and run, lkn nikiri huyu alinizidi kete, kabla sijajua tayari anamimba yangu ya miezi miwili na sipo tayari kwa abortion pia ni single mother Mungu katujalia sasa nalea [emoji128] yangu
Btw anamleta binti yetu kulala.

Sent from my A1601 using JamiiForums mobile app
kwa hiyo umeoa single mother?
 
Baada ya kumaliza chuo, nikatafuta kashule kujishikiza nikisubiri ajira ya nilichosomea. Kuna wiki nilikua mwalimu wa zamu, ukiwa zamu unakaa skuli hadi weekends jmos na j2.

Sasa jumamosi hiyo akaja huyo binti. Aliwahi soma hapo kabla sijaja, kaja kufata vyeti vyake.. nkamwambia vyeti vinakaa ofisi ya mkuu, na mkuu yupo siku za kazi. Nikachukua namba kwamba jumatatu kabla hajaja nimcheki kama mkuu yupo au laa.

Siku ile ile nkaanza mtongoza kwa simu. Na wakati huo plan yangu ilikua nipite tuu maana nilikua na mchumba wangu nesi ambae nasubiri nipate ajira rasmi nioe.

Siku nyingine ya kazi kaja kuchukua cheti, jioni kapitia geto, ingawa alininyima mzigo kisa bado mapema.. ila weekend inayofata alikuna geto na akanipa mzigo.

So nikawa na mademu wawili rasmi. Tatzo likaanza, nkaona namna anavonihendo huyu denti, ni tofauti na mchumba wangu nesi.
Denti akawa so romantic, ananiita mume wangu, ananijali mno. Basi nkawa naendelea kumla. Ghafla mimba hii hapa. Na nilijiwekeaga kwamba sitakuja kutoa mimba yangu. Nkasema usitoe ntaitunza.

Nahisi kwao walimshawishi ahamie maana nkaona anahamishia kimoja kimoja. Siku akija geto anaondoka baada ya siku 3, mara wiki mara akahamia mazima..

Nkafanya process za posa, nkalipa mahali, akajifungua sahv dogo ana 4yrs. Mwaka jana 2019 nmefunga nae ndoa. Na sahiv ni mama k.

Back to nesi, ile me kuoa ilimvuruga sana. Sababu anasema alikataa wengi kisa alikua na uhakika na mimi. Age ilikua imesonga alkua na 27yrs ile 2017. Mwaka jana nilipofunga ndoa yeye akiwa na 29yrs akagive up kuhusu kuolewa, akaamua atafute mtoto.. katka kutafuta mtoto akakutana na jamaa kumbe ni hiv +. So nesi nae akaukwaa. Mimba akipata zinatoka. Hadi sahv bado hajapata.. (Hizi story nazipata kwa shosti yake ambae me ni rafiki)
 
Duuh! Huna chochote kinachosuta moyo au? Daah! Anatia huruma sana huyo Nesi
 
Back
Top Bottom