covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
bila kumsahau mzee lawena msonda maana mi namsikiaka tangu nipo mtoto.. 😀 😀 😀 😀Hakuna watu nawaonaga mapimbi kama watuma salamu redion 😂😂 chesco mzee wa matunda na manka mushi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bila kumsahau mzee lawena msonda maana mi namsikiaka tangu nipo mtoto.. 😀 😀 😀 😀Hakuna watu nawaonaga mapimbi kama watuma salamu redion 😂😂 chesco mzee wa matunda na manka mushi
WEWE MAN_FONGO TULIA,Mimi ni star inamaana hamna aliesoma na mimi huku mbona stori yangu sioni
Kijiwe niaje!
Ni wengi ambao tunawajua watu wakiwa maarufu ila ni wachache zaidi tunaowajua kabla ya kuwa maarufu aidha kwa kusoma nao, kujuana nao, kucheza nao utotoni, n.k
Binafsi kwa huku Mbeya namkumbuka Izzo Business alikuwa ni mtu moja mchangamfu ila muziki wake alionekana na watu lazima wengi kama muhuni, huku sisi vijana wadogo tukiwa tunatamani angalau kuwa na urafiki nae au kuchana mistari kama yeye, miaka ya 2005 nakumbuka alifanyiwa interview na Mbeya Tv basi ile interview niliirekodi kwenye mkanda wa deki, huo mkanda ulizunguka sana mitaani watu wamcheki Izzo B anavyohojiwa.
Nakumbuka pia alifahamika shule kibao za sekondari kama Sangu tukitoka alikuwa na washkaji zake na vile alivyo staa wa Mbeya tulipenda sana kampani yake.
Wasanii wengine nliowajua kwa juu juu kuna msamiati huyu alieimba yeye na Rapcha "Moto Unaweka" nae wa mbeya alisomaga mbalizi nahisi, ila alikuwa mtoro na mzee wa wida.
Karibuni, muwe mnatia nyama basi, sio unasema tu umesoma au kufahamiana na fulani, jaribu kuelezea kwa undani.
Ex wangu sasa ivi video queen [emoji13]
Ana nyodo!
Nimefuta namba yake maana kila mda status anaweka sambwanda, nimechoka kuview aisehhh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesona na ROMA mkatoloki pale USAGARA SEC wakati huo yeye ni basketballer anaetegemewa na shule huku mm ndo mwanamuziki bora zaidi pale.
Nakumbuka alikuwa anakuja kunipa ushauri akiwa na ANTONIO NUGAZ huyu wa Clouds (msemaji wa YANGA)
Jamaa walikuw wananikubali sana japo kuwa walinitangulia kidogo ila walinitambua mchango wangu.
Hata ile ngoma ya Roma (TANZANIA ) tumeplay kwa first time mahome SAHARE SEPOCHO 1
Ila chukushangaza wenzangu wametoboa mimi kibarua changu KUBET
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikusoma na Izzo B ila alikuwa Mwana sana alikuwa family ya kawaida nampongeza kapambana sana Namjua tangu anaanza yeye kama yeye kwa kipaji chake from 0 zero to hero kwa kusaidiwa na Marehemu Mbuzax na Quick Racka aka Aboti huyu Tuna undugu kidogo yeye Mtoto wa kishua hajasota chochote enzi hizo Mbeya ukitaja watuma salaam maarufu unatutaja Sisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama atakuwa anamkumbuka. DMX alianza form 1 mwaka 2003, 2004 form 2 akafeli, akarudia, tukasoma naye, then tukamaliza naye 2007, kwahiyo badala ya kumaliza form 4 mwaka 2006 akamaliza 2007. Kijana alikuwa mkorofi sana. Generation ya azania kutoka 2001 mpaka 2007, ilikuwa na watu maarufu kama wakina Zinde, Mpeta Bizzo, Reddish Brown, Kipande shebby, Kisamo (Msanii), G sparker, Dogo Tifu, Michael Jonhson Nguli (mchambuzi wa michezo Azam), Kuna mtu anaitwa Popo, BMB na wengine kibao wazee wa kitengo mawe.
Lebo ya kijani..tumemaliza mwaka mmoja ila nilikuwa jirani yako..ila dmx alivyofeli form2 kidogo alipunguza utata..unakumbuka sekeseke la kuwapiga makonda baada ya kufariki yule dogo wa form1..sijui tulikuwa form 3 vile au form..sikumbuki vizuriSidhani kama atakuwa anamkumbuka. DMX alianza form 1 mwaka 2003, 2004 form 2 akafeli, akarudia, tukasoma naye, then tukamaliza naye 2007, kwahiyo badala ya kumaliza form 4 mwaka 2006 akamaliza 2007. Kijana alikuwa mkorofi sana. Generation ya azania kutoka 2001 mpaka 2007, ilikuwa na watu maarufu kama wakina Zinde, Mpeta Bizzo, Reddish Brown, Kipande shebby, Kisamo (Msanii), G sparker, Dogo Tifu, Michael Jonhson Nguli (mchambuzi wa michezo Azam), Kuna mtu anaitwa Popo, BMB na wengine kibao wazee wa kitengo mawe.
Nadhani tulikuwa form 3. Yes ni kweli kijana alipofeli form 2 alipunguza utata kidogo mana jina lilikuwa kubwa mwili mdogo.Lebo ya kijani..tumemaliza mwaka mmoja ila nilikuwa jirani yako..ila dmx alivyofeli form2 kidogo alipunguza utata..unakumbuka sekeseke la kuwapiga makonda baada ya kufariki yule dogo wa form1..sijui tulikuwa form 3 vile au form..sikumbuki vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] kwakweli jina kubwa mwili mdogo.Nadhani tulikuwa form 3. Yes ni kweli kijana alipofeli form 2 alipunguza utata kidogo mana jina lilikuwa kubwa mwili mdogo.
Unamfahamu ima rajabu alikuwa na kamwili kadogo..Solomon japhet..na Jimmy madimpoz[emoji3][emoji3]Sure ni green label nilivaa 2004-2007
Jimmy madimpoz namkumbuka, wengine nishasahau majina yao aisee, ila sura zao huwa hazitoki. We ulisoma na kina kibibi, theopista komba na wengineo?Unamfahamu ima rajabu alikuwa na kamwili kadogo..Solomon japhet..na Jimmy madimpoz[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe nzovwe,kalobe au halengo unatokeaNimesoma na deus kaseke &Walter chilambo s/m jitegemee mbeya, deusi alikuwa mtundu mno comedy nyingi ukae naye usicheke utakuwa na
matatizo,alikuwa anapenda kunionea[emoji30]kipaji cha kucheza mpira..
Walter alikuwa anapendwa na wasichana hatarii..yaani ukiwa naye hee unajiona wewe ndo queen wa darasa[emoji1787] hadi walimu walikuwa wanampenda alikuwa na nyota ya kupendwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh! teh! wazee wa Tamba Clan. Mkuu kiranga kwenye ule uzi wa vurugu za tambaza, ulipokuwa unamuelezea Puza fala ulinikumbusha mbali sana. Nakumbuka ilikuwa mwaka 1993 au 1994 hivi nilikuwa na miaka kama 6 hivi, baada ya kutokea zile vurugu kuna mwanafunzi mmoja wa Tamba Boys alikimbizwa na polisi akaja akakimbilia kwa dada yake maeneo ya ilala. Akaingia ndani akajifungia akajificha juu ya dali. Basi wazee walikuja wakavunja mlango wakampandia huko huko wakaondoka naye. Nikikumbuka huwa nacheka sana.Wengine tumesona na Kinjekitile Ngwale enzi za vita vya MajiMaji.
For real ninesoma na Diplomatz na Y Thang wa Kwanza Unit Tambaza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes..Tena teo komba darasa moja..kibibi yeye alikuwa sayansi..awaremi..subira na wengineJimmy madimpoz namkumbuka, wengine nishasahau majina yao aisee, ila sura zao huwa hazitoki. We ulisoma na kina kibibi, theopista komba na wengineo?
Tulikuwa na fujo sana.Teh! teh! wazee wa Tamba Clan. Mkuu kiranga kwenye ule uzi wa vurugu za tambaza, ulipokuwa unamuelezea Puza fala ulinikumbusha mbali sana. Nakumbuka ilikuwa mwaka 1993 au 1994 hivi nilikuwa na miaka kama 6 hivi, baada ya kutokea zile vurugu kuna mwanafunzi mmoja wa Tamba Boys alikimbizwa na polisi akaja akakimbilia kwa dada yake maeneo ya ilala. Akaingia ndani akajifungia akajificha juu ya dali. Basi wazee walikuja wakavunja mlango wakampandia huko huko wakaondoka naye. Nikikumbuka huwa nacheka sana.
Hiki ndo kisa Cha kugombana na Evancy aliponikuta Ghetto na mdogo ake Nancy_ CowObama