niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
Cheen bees kasoma shule ya msingi Toronto. Sekondari kasoma Mkalamo secondary school, hapo hakumaliza alifukuzwa kwa utovu wa nidhamu. Huko shambalai alikwenda baada ya kufukuzwa Mkalamo sec na mwl kimbute.hahaa.. Msingi kitopeni primary na secondary shambalai sec aliishi kota za utondolo. Kidevu alikua mjuaji sana