amsr
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 259
- 303
aliitwa mwizi na demu baada ya kumkuta na mchizi mwingine sasa raia walipokua wanakuja kumpiga akawa anawapa kichapo ndo hapo raia wengine wakajua huyu kweli mwizi so jamaa akachangiwa na raia wenye hasira akachapwa sana alipokua anakaribia kufa dem ndo anakuja kusema huyo si mwizi huku anajiliza ndo hapo jamaa akawa anakimbizwa hospitalini lakini umauti ukamkuta kabla hajafika hospitali
RIP kamanda.
Sent using Jamii Forums mobile app
RIP kamanda.
Huyo alouliwa Mbagala ndiyo yule alokuja kwenye birthday ta demu akamkuta na mchizi mwingine? Au yule demu alohama kutoka kitaa chao na kuja Mbagala, ndiyo akamfuata kuja kumwona na alomwitia mwizi ni mlinzi
Sent using Jamii Forums mobile app