Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

Tupe stori za msanii uliesoma au kujuana nae kabla ya umaarufu

hahaa.. Msingi kitopeni primary na secondary shambalai sec aliishi kota za utondolo. Kidevu alikua mjuaji sana
Cheen bees kasoma shule ya msingi Toronto. Sekondari kasoma Mkalamo secondary school, hapo hakumaliza alifukuzwa kwa utovu wa nidhamu. Huko shambalai alikwenda baada ya kufukuzwa Mkalamo sec na mwl kimbute.
 
Wewe ni mtoto wa Msalilwa, Mazege, Myovela, Magese, Feudal au Sanga? Ha ha ha
Nimesoma shule moja Tausi (yule muigizaji mfupi) ana pacha wake anaitwa Rose Mdegera. Mkorofi ni sijawahi kuona.

Sec mi nikiwa primary mshua anafundisha Tosamaganga basi nakaa kota alikua anasoma mdogo wake Prof J Black Rhyno alikua anaimba sana kwenye graduu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkongo alikuja kuwa headmaster kisarawe lutheran junior seminary kaiba sana ela kule now nasikia ana shule yake......
hahahaha mkongo anaisimplify physics inakua kama civics mlokoz mzee wa bios na kuna member mmoja hapo juu anasema eti mlokozi alikua ndezi me nimeishia kucheka tu wakati mlokozi ndo alikua ana jeuri ya kuruka na kitengomawe na si teacher mwengine yoyote

unamkumbuka teacher mmoja alitupewa nickname ya scramble?

amsr.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah kweli mzee unakumbukumbu hilo kundi Zamba alikuepo kwa kuwa alikua na nyota ya kupendwa na ule usanii ila walijitenga wakishua tupu...ndio walimpiga manzi yule madam Gonda alilia sana baada ya kupata hizo taarifa..

Dah matukio mengi sana ilifika kipindi siku nisipoenda shule amani sina najiuliza kuna nini kimetokea leo...wakati niko Azania kidato cha Nne kwa takribani nusu yote ya form 4 sikuwahi kupanda dalala nyakati za kurudi ilikua lift na ngondi sometime usafiri ukiwa shida.
swagger boyz wale wakina zamba? walmpga mtungo mtoto wa madam gonda, sema dogo alkua pin asee alkua jangwan hakua mchoyo afu ukzngatia dogo kpnd hcho ndo barehe imechanganya w2 waliish nae sn

kipnd chetu mlokoz ndo alikua jau sn nakumbuka kuna sku nltoka nikaenda kkoo wakat wakurud ckupta kule kwnye boda la uwanjan nkapta getin dah! nkakutana nae mzee wng nilchokpata ni historia

kusoma Azaboi ni heshma sio ktaa tu hata barabarn ukkatza ni heshma afu madem ndo km wote nldaka sn watoto wa jangwa, zanak, benja n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo nyakati nilizikutana mwanzoni mwa kidato cha kwanza baada ya hapo ikawa histori shule ukiingia kama upo jehanam
hahahaha pole mkuu naona sisi ndo tuliimalizia kuifaidi azania maana ilikua unaingia xul muda unaotaka na kutoka muda unaotaka na mfano ukichoka kukaa class unaenda forest au kwa hussein unakutana na story za na uongo wa dmx au unaenda zako mapindi mchikichini hahaha

kweli time flies

amsr.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli wewe umesoma Azaboi, ongeza kwenye list hapo watu wakorofi kama man tapa, Pengo, Zinde hukumkuta wewe, muddy kipande nae hukumkuta pia,
Sema pale watu maarufu ni Mohamed yupo Azam pale, Iman Nsamila mpiga picha maarufu wa January Makamba na Samatta, Ben Paul tulisoma nae pale Advance ila yeye hakusoma PCM na kipindi hicho hakua maarufu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ben Paul alikuwa maarufu kwa sisi tuliokuwa tunakaa hostel na wale waliokuwa hostel za jangwani kwani alikuwa akituimbia nyimbo Aza-Jangwa! ila kama ulikuwa day ilikuwa vigumu sana kumjua.
 
Nimesoma shule ya msingi na sekondari na martin kadinda yule mwanamitindo.na tumewahi kupata ajali ya gari pamoja tukiwa tunaelekea kanisani.miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dogo sio maarufu ila anajua sana.Sijui anakwama wapi?. (Diamond platnumz alishawah kuuliza hili swal)

IBRANATION

Huyu dogo nilimuacha darasa la 5 pale Ilala primary school Iringa.Enz hizo mkwawa high scul bado hakijawa chuo.Alikua dogo mpple na mtaratibu tu.mama ake alikua ni frnd zake sana na maza.Bro ake anaitwa athuman (last time nakugana nae kitambo kidogo kabla sijaondoka iringa alikuaga Diwani).huyu bro ake athuman alisoma na Bro angu mmoja.Alikua na dada yake anaitwa Zaina huyu alisoma na bro wangu first born.
Mama yake (almaarufu kama mama zaina) nae alishakuaga diwani mtaa wa Kajificheni.
Dingi yao (Mpogole) alikua dereva wa malori


Najiuliza ibrahnation anakwama wapi? (kama wewe tu)..
Huyu jamaa nna nyimbo zake zoteee..
 
Jack chain nilikuwa nae Shanghai miaka 90 nilipoenda kumalizia masomo yangu,Huwa nawasiliana nae sana wechat....
 
Back
Top Bottom