Tupeane connection za mashamba/viwanja vya gharama nafuu

Kama unaenda kwa sunga.sio center pale
 
Yah uzi mzuri, mimi niko Dodoma ninahiaji kiwanja cha bei rahisi pia kwa ajili ya ,makazi
 
Share experience yako kwa hapo miono mkuu. Tunaweza kujifunza na sisi pia tusiopajua
 

Nenda kisiju huko ni wilayani mkuranga..! Maeneo yapo mengi sanaa huko with a very fertile land
 
Kwa bajeti ya M10 hadi 15, kiwanja chenye ukubwa wa robo heka kigamboni, nitapata kigamboni ipi ?
 
Mimi ninalo lipo Mkoa wa Tanga nje kidogo ya jiji , eneo makorola kama upo tayari nitafute.
 
Ukifanikiwa kupata tujuzane ili na sisi tujiunge
 
Ila wakuu kuna hector na acre si ndiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…