Tupeane connection za mashamba/viwanja vya gharama nafuu

Tupeane connection za mashamba/viwanja vya gharama nafuu

Tuufanye watu 20 kila mmoja awe na milioni moja tuotee eneo ambalo tutagawana kila mtu ekari 10,tuanzishe mashamba ya kisetla nyumba inakaa katikati ya shamba, tunafuga ngombe mbuzi kilimo safi kabisa! Tunakuwa na culture zetu, kila mtu anaoa wake 3 sheria ya kwanza 😂😂
 
Habari zenu wana JF,
Natafuta shamba maeneo ya Kisarawe au Kibaha Vijijini, naomeni mwenye kujua upatikanaji wake aniunganishe na wadau.

asanteni
Nna connection kibaha Karibu Pm, pia kama mtu anataka kiwanja kibaha au machimbo ile ya njia ya mpiji (Dakik 20 kutoka Magufuli terminal, karibu inbox).

Kama huna cash na unataka kulipa kwa installment au kuvunja, kubadilishana na thamani nyinginie karibu Pm
 
Icho kiwanja cha DK 20 mpk stendi ya magufuli ukubwa gani na bei gani?
 
Nna connection kibaha Karibu Pm, pia kama mtu anataka kiwanja kibaha au machimbo ile ya njia ya mpiji (Dakik 20 kutoka Magufuli terminal, karibu inbox).

Kama huna cash na unataka kulipa kwa installment au kuvunja, kubadilishana na thamani nyinginie karibu Pm

Nitafutie kiwanja basi boss
 
Uzi mzuri kabisa huu
Mm naulizia pia kama naweza pata eneo kwaajili ya shamba kuanzia hekari 10 nakuendelea katika sehemu hizi
1. Iringa
Kati ya mafinga na ipogoro
Kati ya ipogolo mpaka ilula

2. Pwani
Njia ya dar
Kati ya Kibaha mpaka chalinze
Kati ya Chalinze mpaka msata
Kati ya chalinze na moratorium mjini

Njia ya bagamoyo
Bunju mwisho mpaka bagamoyo

NB. Mashamba yote haya yasiwe mbali sana na main road
 
Natafuta shamba maeneo ya mlandizi au chalinze .
 
Mashamba chalinze nenda kijiji cha kibindu mashamba yapo mengi na ardhi ina rutuba. Nilifanikiwa kupata heka 20 kwa bei chee tu. Kwasasa nafanya kilimo na ufugaji.

Jinsi ya kufika kama upo Dar nenda mbezi stand ya Daladala kuna magari yanaenda Kibindu nauli ni 12,000 tu
Shukran mkuu
 
Tuufanye watu 20 kila mmoja awe na milioni moja tuotee eneo ambalo tutagawana kila mtu ekari 10,tuanzishe mashamba ya kisetla nyumba inakaa katikati ya shamba, tunafuga ngombe mbuzi kilimo safi kabisa! Tunakuwa na culture zetu, kila mtu anaoa wake 3 sheria ya kwanza [emoji23][emoji23]
Hahaha idea imeanza vzuri sana umekuja kuharibu hapo mwishoni[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom