Tupeane connection za mashamba/viwanja vya gharama nafuu

Tupeane connection za mashamba/viwanja vya gharama nafuu

Nyave inakuja kuwa special zone mkuu, baada ya ile barabara yetu, wahuni wengine nao wamepasua njia nyingine na sio muda tutafika Taweta, kama 18 km ndo zimebakia tutoboe Taweta. Kuna wenye nguvu wamekuja kule ni balaa mkuu.
Aisee,
Hongera sana Mkuu. Naona karibu utaimaliza Kibena, Lupembe na Ukalawa
 
Share experience yako kwa hapo miono mkuu. Tunaweza kujifunza na sisi pia tusiopajua
Nina eneo pale kitongoji cha Mchokozeni/Msata kando ya eneo la IFM block, tatizo la eneo lile ni ukame kiasi, ila zuri sana kwa ufugaji. Eneo langu limefikiwa na bomba la maji ya bomba. naweza mkatia mtu eka kumi kama ana cash. Eneo hili ni potential kwa siku za mbele wakijajenga kile chuo pale.
 
Mnashughulika vipi na Matapeli wa viwanja au mashamba?
 
Nina eneo pale kitongoji cha Mchokozeni/Msata kando ya eneo la IFM block, tatizo la eneo lile ni ukame kiasi, ila zuri sana kwa ufugaji. Eneo langu limefikiwa na bomba la maji ya bomba. naweza mkatia mtu eka kumi kama ana cash. Eneo hili ni potential kwa siku za mbele wakijajenga kile chuo pale.
Bei gan unauza?
 
kwenye kununua eneo umakini unatakiwa sana kuna sehemu bagamoyo bei ndogo lakini eneo ni la serkali japo watu wanaishi
 
Back
Top Bottom