Tupeane connection za mashamba/viwanja vya gharama nafuu

Tupeane connection za mashamba/viwanja vya gharama nafuu

Kwa bajeti ya M10 hadi 15, kiwanja chenye ukubwa wa robo heka kigamboni, nitapata kigamboni ipi ?

Kwa ushauri mzuri, unatakiwa kwenda kigamboni then chukua wale boda katika vile vituo mbalimbali then waulize kuhusu kutafuta mashamba. Kwa staili hii utafanikiwa but kwa kupitia madalali huwez kupata hata plot kwa kigamboni..
 
Nilinunua kimanz chana eka tano laki tatu

Alafu kule kama unaelekea lindi ilikia heka elf 36 tu (mapori) kwenye kusafisha unajikuta umenunua heka laki mbil

Lakin hii njia imenikalia kushoto nimewahi lima maramoja tu
Saivi napambana na bagamoyo kiwangwa ila huku ekar lak nane kwenda mbele.
 
Kwa chanika hapana hakuna mashamba kule, chanika imendelea sana nimejenga kule ila ukitaji viwanja unapata kuanzia 2M uwakika unapata kiwanja cha maana maeneo ya chanika, mvuti, zingiziwa hadi nzasa.
 
Nilinunua kimanz chana eka tano laki tatu

Alafu kule kama unaelekea lindi ilikia heka elf 36 tu (mapori) kwenye kusafisha unajikuta umenunua heka laki mbil

Lakin hii njia imenikalia kushoto nimewahi lima maramoja tu
Saivi napambana na bagamoyo kiwangwa ila huku ekar lak nane kwenda mbele.
Napatamani sana bagamoyo naomba Connectn ya kupata ata heka 3
 
Napatamani sana bagamoyo naomba Connectn ya kupata ata heka 3
1648998073949.png
 
Trust Solution Tunashughulika na uuzaji wa viwanja maeneo ya kigamboni buyuni na mwembe mdogo kwa bei nafuu kuanzia size ya square meter na unaweza kulipa kwa awamu.
Tuwasiliane 0620801183
Au nicheki pm kwa maelezo zaidi
953cd296-4dac-4b20-acf5-3a3970be06fd.jpg

f4bd3e4f-15db-403d-8c51-f0d4028f3fd8.jpg

22dcb0dd-2e5d-4026-b44f-ed2350bd54c9.jpg

5ab7e26f-a8f4-4824-9616-cbb5253dc1b4.jpg
 
Habari zenu wana JF,
Natafuta shamba maeneo ya Kisarawe au Kibaha Vijijini, naomeni mwenye kujua upatikanaji wake aniunganishe na wadau.

asanteni
 
Hello wanajukwaa,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Naomba tupeane connection za maeneo ambayo kuna viwanja au mashamba makubwa kwa bei nafuu kwaajili ya uwekezaji au ujenzi.

Mimi binafsi niko Dar, natamani sana kupata eneo au shamba lenye rutuba nzuri angalau ekari 10 pembezoni mwa jiji au katika mkoa wa Pwani kwa gharama ya wastani wa milioni moja (1,000,000Tsh) ili nikajichimbie huko nilime na kufuga. Maeneo ninayopendelea ni kama Kisarawe, Chanika (ndanindani huko), Bagamoyo, Wilaya ya Kibaya, Mkuranga n.k.

Asanteni
Nina heka 25 Kibiti, Kilometers 21 from Kibiti Mjini. Nauza kila heka 150,000/-. Hazijawahi kulimwa hivyo ni Pori.
 
Back
Top Bottom