Kwa bajeti ya M10 hadi 15, kiwanja chenye ukubwa wa robo heka kigamboni, nitapata kigamboni ipi ?
Hayo ya laki moja heka unapata huku na magar yapo 5000 nauliKunafikikaje huko?mashamba bei gani?
#MaendeleoHayanaChama
Napatamani sana bagamoyo naomba Connectn ya kupata ata heka 3Nilinunua kimanz chana eka tano laki tatu
Alafu kule kama unaelekea lindi ilikia heka elf 36 tu (mapori) kwenye kusafisha unajikuta umenunua heka laki mbil
Lakin hii njia imenikalia kushoto nimewahi lima maramoja tu
Saivi napambana na bagamoyo kiwangwa ila huku ekar lak nane kwenda mbele.
Hivi mkuu kibindu ni pwani au morogoro?Njoo uchukue pwani miono kwa bei hiyo
Wapi mkuu?Hayo ya laki moja heka unapata huku na magar yapo 5000 nauli
Kibindu pwani hiyo ,iko kwenye wilaya ya chalinzeHivi mkuu kibindu ni pwani au morogoro?
Napatamani sana bagamoyo naomba Connectn ya kupata ata heka 3
Milioni 1 heka 10..?!Nenda Gwata au Vikumburu unaweza kubahatisha mkuu
Ni sawa km ngapi kutoka ubongo mkuu? Na uzuri wake hasa ni upi?Vikindu kuna mambo mazur jamn,
Shamba ekari 10 lipo Kabuku, umbali boda 1k. Pazuri kulima mazao mbalimbali, wengine wameanza kulima Mkonge linauzwa 4ml Tzs
Nina heka 25 Kibiti, Kilometers 21 from Kibiti Mjini. Nauza kila heka 150,000/-. Hazijawahi kulimwa hivyo ni Pori.Hello wanajukwaa,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Naomba tupeane connection za maeneo ambayo kuna viwanja au mashamba makubwa kwa bei nafuu kwaajili ya uwekezaji au ujenzi.
Mimi binafsi niko Dar, natamani sana kupata eneo au shamba lenye rutuba nzuri angalau ekari 10 pembezoni mwa jiji au katika mkoa wa Pwani kwa gharama ya wastani wa milioni moja (1,000,000Tsh) ili nikajichimbie huko nilime na kufuga. Maeneo ninayopendelea ni kama Kisarawe, Chanika (ndanindani huko), Bagamoyo, Wilaya ya Kibaya, Mkuranga n.k.
Asanteni