Tupeane connection za mashamba/viwanja vya gharama nafuu

Nauza Kiwanja kipo Makongo Juu CCM,Jirani sana na shule ya makongo, ukubwa ni SQM 300, kina hati, kina msingi wa ghorofa, maji yamepia hapo hapo,nguzo ya umeme ipo hapo hapo, eneo linafaa sana kujenga appartment za kupangisha au nyumba ya kuishi kwa wale wasiopenda eneo kubwa.....Bei nauza 17.5M.
Ukiwa interested PM nikakuoneshe kilipo tufanye muamala
 
Sqm 300 unapata hati?
 
Kama ukitoka Dar, Kabuku ni baada ya Mkata. Nauli toka Mkata hadi Kabuku kwa basi ni 2k. Shamba linapakana na Chuo Cha Biblia cha TAG. Toka Barabara ya Lami hadi Shamba Boda ni 1k.
Hiyo si handeni ...?
 
Kaka mwenyewe Nina shamba. Langu bagamoyo tunaweza shauliana..!!
 
Naomba uelekeo kaka kibindu IPO mkoa na wilaya Gani maana natolea Arusha
 
Mimi nina connection ya kibindu nimetoka kule last week bei bado sio kubwa sana, shamba pori unaweza pata 80,000-100,000 kwa heka. Ila shamba clean unaweza pata 150,000-200,000 kwa heka. Angalizo uwe makini usije uziwa mashamba yetu.
Naomba mawasiliano Yako boss inbox unielekeze.
 
Nauza ekari 30 Kwa 800,000 Kila Moja ziko Sumbawanga mjini
 
Mimi nina connection ya kibindu nimetoka kule last week bei bado sio kubwa sana, shamba pori unaweza pata 80,000-100,000 kwa heka. Ila shamba clean unaweza pata 150,000-200,000 kwa heka. Angalizo uwe makini usije uziwa mashamba yetu.
Nipe connection ndugu yangu au hata kama unamfahamu mtu anayeuza niunganishe naye nije kuwekeza huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…