Tupeane machimbo kunapouzwa kitimoto. Pia tubasilishane ujuzi wa mapishi

Mwanza kuna sehemu inaitwa Andy's jirani na Sparrow hotel ni sheedah. Kitimoto tamu sana aisee.
 
Mwachiluwi mbuzi katoliki anapikwaje??
Nilifanya utafiti nikagundua waislamu dhambi kwao ni kula nguruwe ila kuvuta sigara, kunywa pombe, kupigana, kuua, kufanya mapenzi na si mke wake, kudhulumu, wizi na kuongea uongo kwao siyo dhambi.
Nilikuwa na jamaa yangu mmoja tunakula kitimoto, tukamkaribisha jamaa mmoja muislamu, akasema yeye dini yake hairuhusu ila muda huo anakunywa bia ya safari na anavuta sigara😁😁😁😁😁
 
Kwenye uislam vyote hivyo ni dhambi mkuu.

Ni kama watu wengine ambao bao huchagua dhambi za kutenda na nyingine huona ni kubwa mno.
 
Hakuna dhambi kubwa kuliko nyingine. Zote ni dhambi
Kuna jamaa zangu (waislamu) ni watu wa pombe, sigara, wanawake na wapigaji sana. Kukusokota kwenye hela kwao ni kawaida ila sasa ongelea masuala ya nguruwe. Wanakasirika vibaya ila ongelea masuala ya kupigana miti, wanavyofunguka mpaka aibu.
Na hii ipo sana kwa waislamu
 
Mkuu nadhani huelewi kitu kimoja, wewe hujui uhuru wa kuabudu??
Kwani ni kosa wao kuamini kuna dhambi kubwa na ndogo??

Wewe unahisi hiyo dini au imani uliyonayo ndio sahihi??

Makinika, usihangaike na kibanzi kwenye jicho la waislam kumbe wewe una boriti.
Shaurilo.

Nilikua kama wewe ila sasa akili zinanijia.
 
Back
Top Bottom