DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
Hizo ndizi zimekumbatia kitimoto utafikiri movie ya XYaani ni chini ya ulinzi imara wa ndizi!
Hizo ndizi zimekumbatia kitimoto utafikiri movie ya XYaani ni chini ya ulinzi imara wa ndizi!
Una jina baya na bado unakula nguruweNeno kafiri ni la kiarabu mi mnyakyusa acha niendelee kula kitimoto mambo ya waarabu hayanihusu..
Mi mnyakyusa nakula nguruwe mwanzo mwisho....Una jina baya na bado unakula nguruwe
Usijisifie kula nguruwe ni ujinga huoMi mnyakyusa nakula nguruwe mwanzo mwisho....
NinaUzi bila picha ni batiliView attachment 3407574
Nguruwe lazima nile coz kule kwetu unyakyusani hata huo uislamu ndo umeletwa siku hizi..... huwezi kuamin hata misikiti nilikua sijui ni kitu ganiUsijisifie kula nguruwe ni ujinga huo
Weww kiwira pale kuna msikiti wewe upo unyakyusa ipi..Nguruwe lazima nile coz kule kwetu unyakyusani hata huo uislamu ndo umeletwa siku hizi..... huwezi kuamin hata misikiti nilikua sijui ni kitu gani
Dah! hii mali safi sanaUzi bila picha ni batiliView attachment 3407574
unaachaje kula nguruwe, kuna vitu vingine vya ajabu, kitimoto na kula na mbinguni naendaWeww kiwira pale kuna msikiti wewe upo unyakyusa ipi..
Ushirika pote huko misikiti ipo...acha nguruwe
Dah! hii mali safi sana
Muda wetu ndio huu sasa kuelekea meza kuu alipo mkuu wa meza
Sabato ni dhehebu kwenye dini ya wapaganiUmechanganya lugha sijakuelewa
Nimesoma kule hata nilikua hata sijui ni kitu gani.. ndagha, ntokela, ushirika , kk, katumba, mwisho wa mji, bagamoyo mpaka Malawi kote huko nimemaliza... siwez nikaacha kula kitimoto kwa sababu ya uislam ambao siujui..... ni nadra sana kumkuta mnyakyusa muislamu na ndo maana hata ukifanya research ya watu maarufu unaowafahamu ambao ni wanyakyusa-waislamu huwezi kuwapata kufika hata idadi ya watano.Weww kiwira pale kuna msikiti wewe upo unyakyusa ipi..
Ushirika pote huko misikiti ipo...acha nguruwe
Karibu Makongorosi NduguNenda Mbeya kila sehemu chimbo la 🐷
Dini ya upagani ni ipi hiyo ambayo usabato ni dhehebu ndani yakeSabato ni dhehebu kwenye dini ya wapagani
Ukienda mbinguni niite mbwa mkuuunaachaje kula nguruwe, kuna vitu vingine vya ajabu, kitimoto na kula na mbinguni naenda
Kaffirrrrrr 🤮🤮🤮🤮!