Tupeane machimbo kunapouzwa kitimoto. Pia tubasilishane ujuzi wa mapishi

Tupeane machimbo kunapouzwa kitimoto. Pia tubasilishane ujuzi wa mapishi

Kama Upo Singida karibu Rose View Sabasaba wana kitinoto Flan hivi kitamuu mnoo unaongezea na Safari mbili za Baridiii basi unaona maisha uneyapatia sana
Naendelea zaidi Konyagi, vipande vya barafu na slices za ndimu
 
View attachment 3407268
Wapendwa, mambo vipi? Tuko hapa kibadilishana mawazo, maarifa, na kujulishana machimbo wanakouza Kitimoto 🐖🐷🐽 katika mikoa mbalimbali na wilaya zake
Kama hao nguruwe wamechinjwa kwa kuelekezwa kibla basi mjulisheni FaizaFoxy adriz Malaria 2 waje kupata steki ya paja ....ila kama ni vibudu kuleni wenyewe ..waislamu tumeruhusiwa kula nguruwe na bwana wetu mtume muhammad ila siyo vibudu
 
Back
Top Bottom