Tupeane maujanja ya Dream League Online/Offline

Mimi nataka kujua vipi unawafanya kina Sarah wapige miguu yote pia wawe na kimo cha 204cm.
 
Mbona nikienda android...ftgames07 sioni file lake?naona la caches tu
kama game halijawai kuchezwa kwenye simu yako hauwezi kuliona linajitengeneza lenyewe endapo tu app ya game ume istall na kuifungua anagalau mara 1
 
kama game halijawai kuchezwa kwenye simu yako hauwezi kuliona linajitengeneza lenyewe endapo tu app ya game ume istall na kuifungua anagalau mara 1
Inagoma kuinstall hapo nn shida mzee?
 
Kama umeicheza basi kuna hatua labda umeluka au umeifuta bila kujua,
Fungua file manager kisha fungua "Android" kisha fungua "data" kisha tafuta kitu kimeandikwa hivi "com.firsttouchgames.dls3" kisha ukifungua utakuwa hapo utakuwa caches na chini "files" fungua files utakuta vijidudu vingi hapo jezi wachezaji na nk kama nilivyotuma kwenye maelezo ya picha uko juu
Nimeshaicheza tayari mkuu
 
Dah! Mi bado nacheza la mwake 2019 hilo la mwaka huu mpka uwe online lilinishinda. Ila mkuu hizo pesa umekusanya sio mchezo, na unafanya vp kila mchezaji anakuwa na 100?
mkuu 2020 sio lazima ucheze online mi nacheza offline pia lakini sijadownload kupitia play store na hizo pesa ni rahisi kuzijaza fuata maelekezo ya picha comments zilizotangulia.
Mchezaji kuwa na 100 ni rahisi unamjaza mauwezo kwenye kitufe vja develop player.
 
Afu hilo la 2020 hata mechi za mashindano unaweza weka data off then match ikiisha unawasha kukusanya data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…