Ni kweli usemavyo mkuu ndio maana nilikupa angalizo ..hiyo ni rahisi sana...kuna zaidi ya hiyo ila ni complex kidogo nashukuru kama imekuwezesha kufanya kazi yako... Endelea kufuatiliaMkuu ubarikiwe sana kwa hii elimu nimefanikiwa kwa urahisi sana niliwaza kutenganisha ingenichukua more than 2 weeks but nimeifanya kwa dk chache ila kuna suala kama zipo nying umedrag kama umeweka pale mwanzo uliweka 2 digit ikakutana na 3 digit utapata tofaut so inabidi urekebishe kwanza
namaanisha kwa mfano kwenye kila cell ndani ya column ina neno lenye herufi tano, kila herufi ya nne kwenye hilo neno ni S au H. Sasa nataka kusoti ambazo herufi yake ya nne ni S zikae pamoja na zile ambazo ni H zikae pamoja. Tunafanyaje
RANK = Ni Function Kwa ajili ya Kupanga namba na kuzipa nafasi.. Mfano unapotaka kujua wa kwanza hadi wa mwisho katika darasa au mashindanoNaomba kujua tofauti ya RANK,
COLUMN
CELL
Asante kwa swali lako zuri ndugu Ta Castor... Kwanza ningependa kufahamu kama majawabu uliyopata huko juu yalikusaidia kufanikisha kazi yako ?Mkuu kwa mara nyingine naomba mwongozo wa jinsi kurekebisha alama za watahiniwa katika somo la JIOGRAFIA I mean z-score kwa kutumia ms exelView attachment 439828
Karibu sana mkuu... Hebu angalia hiyo ya Z Score halafu kama kutakuwa na swali karibu ili nielezee zaidi maana sijajua Kwenye matokeo huwa mnaishia wapiHakika umenisaidia sana nlikuwa sifahamu kitu kuhusu kuoanga matokeo kwa kutumia exel nkikuwa natumia kichwa ndipo nachapa sasa hv naona ni simple like ABC.
Hii z score ndo nini tena mkuu??Karibu sana mkuu... Hebu angalia hiyo ya Z Score halafu kama kutakuwa na swali karibu ili nielezee zaidi maana sijajua Kwenye matokeo huwa mnaishia wapi
Hongera Kwa kujaribu.. Naomba uweke picha kidogo nitajua tatizo
Kuna wakati imeleta bei ya bidhaa then ikagoma
Wanatumiaga walimu kurekebisha matokeo... Unakumbuka shule ya msingi ulikuwa ukipata 100 na wa mwisho akipata 0 unaweza ikapunguzwa hadi ukapata 70 baada ya kurekebisha... Waalimu watakuelezea kiundani zaidi ngoja wajeHii z score ndo nini tena mkuu??
Nimekupata mkuu ila nilichotaka kujua kama kuna uwezekano wa Total Auto Sorting. Kumbe utatakiwa u-sort upya.Ukitumia Function ya Rank ni lazima ukibadilisha na nafasi yake itabadilika... Ila hakikisha ile jumla umeipata kwa kutumia Function ya SUM na sio manually
Naomba kuuliza nawezaje kuandaa division ya mwanafunzi kwa kutumia grade? Mfano division I,II,III,IV,FLD
swali zuri sana mkuu... hapo lazima uielewe function ya PMT..Mkuu nashukuru Sana kwa darasa hili
Naomba unisaidie kitu hapa
Nataka kutengeneza amortization table ambayo ipo hivi .. .
Mr. X amekopa Tshs 2,000,000/ ambayo riba Ni 10% muda wa mkopo Ni miezi 10 nataka nitengeneze hiyo amortization table inayoonyesha kila mwezi anatakiwa arejeshe Tshs. 220,000/ na baada ya miezi 10 awe na balance ya Tshs. 0/
Asante