Tupeane maujanja ya Excel

 
Ziko kwenye excel or word
Kama ziko kwenye word fanya hivi:-
1. Insert>header> sasa kwenye header utachagua uandike kichwa cha habari na kinaonekana kila page
Ziko kwenye excel or word
Kama ziko kwenye word fanya hivi:-
1. Insert>header> sasa kwenye header utachagua uandike kichwa cha habari na kinaonekana kila page
Ahsante mkuu ila ipo kwenye excel na nimetengeneza kitu kama kichwa cha habar kwenye kila column ambazo ninatumia kama reference ya kuingiza data so nikiprint inatoka page ya kwanza tu page zingine zinaleta data bila kua na column yenye kichwa cha habari
 
Nini tofauti ya excel ambayo iko kwenye microsoft office na spreadsheet ambayo iko kwenye googledrive
 
Ahsanteh mkuu na hii z sore hpo kwenye video kwa group ina kazi gani ni kufanya standardization au ni vipi maan nmeona kuna mtu alikuwa ana 48 ikaja 40 sasa je ni kazi yake kupunguza tu au na kuongeza ebu nichambulie hapo mkuu upande wa z score

Zote zipo kwenye kudni moja la Spreadsheets... tofauti ni ndogo sana mfano hizo za google sheets lazima uwe online ndio ufanye kazi na Excel ya Microsoft sio lazima
 
M
Zote zipo kwenye kudni moja la Spreadsheets... tofauti ni ndogo sana mfano hizo za google sheets lazima uwe online ndio ufanye kazi na Excel ya Microsoft sio lazima
MKuu haujanijibu swalilangu umemjibu mkuu hapo juu labda tuanzena hii picha nashindwa kutafuta z-score ya kila mwanafunzi kwa masomo kumi na moja hapa angalia. Na hii 10z+50 ndo ilivyo costant mkuu katika kufanya standardization au vipi mkuu?
 
Ok
Nenda
Insert> header & footer kisha chagua footer
Kama mimi nimeandika "Baba wa Mapaka" hivyo hiyo itajitokeza kila page.

Thanks

 
Asante mkuu..nikupongeze pia kwa juhudi zako
Napenda kutoa pongezi za dhati kwa bw. Ethos kwa msaada anaotupatia nilikuwa kapa kwenye kutumia Program jedwali lakini kwa msaada wake hadi sasa hv nimepata ABC Kuhusu exel. Mungu akuzidishie moyo wa majitoleo uzidi kutuelimisha.
 
z score hutumiwa na walimu ku standardize alama za kila somo...hapo unatakiwa ufanye separately... 10z+50 hiyo nimepewa na mdau wa Elimu wakati anauliza swali lake ndugu Ta Castor
 
Ok
Nenda
Insert> header & footer kisha chagua footer
Kama mimi nimeandika "Baba wa Mapaka" hivyo hiyo itajitokeza kila page.

Thanks

Nataka hiyo column ya site id, site name itokee kila page nitakayoprint
 
Mkuu kwa mara nyingine naomba mwongozo wa jinsi kurekebisha alama za watahiniwa katika somo la JIOGRAFIA I mean z-score kwa kutumia ms exelView attachment 439828

Samahani mkuu hii z-score.naomba.unifafanulie.ina maana gani na inatumikaje yaan ukishapata value yake unaitumia sehemu gani kama hutojari naomba unielekeze inatumikaje kwenye huo field ya ualimu mkuu lengo nipanue uelewa wangu.ahsanteh
 
Goodmorning all

Pale unapotaka kujumlisha namba ila kwa kutumia kigezo fulani tu hakikisha unaitumia SUMIF function

short video kwenye darasa letu kule... For Any questions hapa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…