Daah hakika ushukuriwe mkuu ulianzisha huu uzi hatimaye nimeweza kuitumia VLOOKUP kwa kutafuta grades View attachment 439524[/QUOT
Mkuu,
Unapotumia VLOOKUP function, epuka kutumia TRUE mwishoni mwa formula na daima tumia FALSE. 'Option' ya TRUE huwa inatafuta kile unachokitaka na kama itakikosa, basi itakuletea kinachoelekeana na ulichokuwa unatafuta wakati 'option' ya FALSE itakuletea kile tu unatafuta na kama hakipo Excel itakufahamisha kuwa hakipo
Karibu tena.