In case kama lookup values zipo nyingi (zaidi ya moja),VLOOKUP huwa inachukua data ya kwanza tu, data zingine zinazofuata zinakuwa omittedHata Vlookup, ningeitumia ningekopi hizo headings nikaziweka vertically nikainsert formula na kupata majibu baada ya kuwasort alphabetically
Mimi nilikuwa nataka general formula ya kutumia hata kama hawajawa sorted (multiple names)
Vlookup haiwezi kwa case yako,labda uifanyie nested na formula nyingine,hata index match haiwezi pia peke yake kukupa jibu unalotaka,hizo ni just lookup functions,weka majina ya kila casual unaetaka kupata amount zao,hauna haja ya kusort wala kufilter chochote,thn tumia formula aliyokupa Njuka au sumif kupata total ya kila mmoja thn mwisho tafuta grand total, alternative unaweza kutumia Pivot Table, kama hautaki kuandika table ya summary,hakikisha kwenye value unabadilisha count iwe sum.Hata Vlookup, ningeitumia ningekopi hizo headings nikaziweka vertically nikainsert formula na kupata majibu baada ya kuwasort alphabetically
Mi nilikuwa nataka general formula ya kutumia hata kama hawajawa sorted (multiple names)
Si naikopi kwenye values zingine alafu nakuwa nabadilisha column index number kwa kuitafuta matching value ninayoitaka au inakaaje hapaIn case kama lookup values zipo nyingi (zaidi ya moja),VLOOKUP huwa inachukua data ya kwanza tu, data zingine zinazofuata zinakuwa omitted
Kwenye pivot huko ndo sijajaribu, hebu ngoja nioneVlookup haiwezi kwa case yako,labda uifanyie nested na formula nyingine,hata index match haiwezi pia peke yake kukupa jibu unalotaka,hizo ni just lookup functions,weka majina ya kila casual unaetaka kupata amount zao,hauna haja ya kusort wala kufilter chochote,thn tumia formula aliyokupa Njuka au sumif kupata total ya kila mmoja thn mwisho tafuta grand total, alternative unaweza kutumia Pivot Table, kama hautaki kuandika table ya summary,hakikisha kwenye value unabadilisha count iwe sum.
Nikitaka ku drag kwenye simu nafanyajeAsante Kwa Swali Lako na samahani Kwa kuchelewa kukujibu..
Hapo tutatumia function ya RANK na Sio SORTING kama mdau mmoja alivoelekeza..
Unaandika =RANK(C3,C3:C12,1)
Formula hiyo iweke Kwenye Column mwanzo ili uweze ku Drag mpaka mwisho...
Lakini kumbuka C3 ni namba unayotaka ipewe nafasi yake
C3:C12 ndio range ambao Unataka itumike na hiyo moja ya mwisho ni kwamba ianze kuhesabu namba kuanzia 1 na Sio 0,1,2....
Pia hakikisha una ongezea Alama ya $ Kwenye kila herufi ya range yako ili unapodrag isibadilishe maana..
Kwahiyo itakuwa =RANK(C4,$C$3:$C$12,1)
Hold kibox cha kudrag mpaka ikulete options kama picha ya kwanza hapo then chagua fill kibox kitabadilika na kuwa kama picha ya pili then uta drag tu.Nikitaka ku drag kwenye simu nafanyaje
Ahsante sana mkuu, ninewezaHold kibox cha kudrag mpaka ikulete options kama picha ya kwanza hapo then chagua fill kibox kitabadilika na kuwa kama picha ya pili then uta drag tu.View attachment 2472838View attachment 2472844
Vizuri[emoji1531][emoji1531]Ahsante sana mkuu, nineweza
Kwasababu pc unayo, kwanini usingekuwa unajaribu kufanya kwanza ili ukaona output inatokeaje mana ukisema usubiri mpaka mtu akuambie ukifanya hivi kinatokea hiki utachelewa sana kujifunzaSi naikopi kwenye values zingine alafu nakuwa nabadilisha column index number kwa kuitafuta matching value ninayoitaka au inakaaje hapa
Hapa nilikuwa najaribu kuwa na alternatives ngapi katika kusolve hii issue, already solvedKwasababu pc unayo, kwanini usingekuwa unajaribu kufanya kwanza ili ukaona output inatokeaje mana ukisema usubiri mpaka mtu akuambie ukifanya hivi kinatokea hiki utachelewa sana kujifunza
Mkuu nashukuru sana. Nimeifanyia kazi hii na nimepata matokeo ninayoyataka.Unganisha text na formula kwa kutumia alama &
Mfano
="CIV- "&IF(B2>=81,"A",IF(B2>=61,"B",.........IF(B2>=0,"F")))))&" KISW- "&IF(C2>=81,"A",IF(C2>=61,"B",.........IF(C2>=0,"F")))))&" HIST- "&IF(D2>=81,"A",IF(D2>=61,"B",.........IF(D2>=0,"F"))))).......
Where column A ni column ya majina ya wanafunziMkuu nashukuru sana. Nimeifanyia kazi hii na nimepata matokeo ninayoyataka.
Naomba pia kufahamu iwapo mwanafunzi hajafanya mtihani(absent), nifanyeje Ili ionekane hayupo?
Kwa formula hizo hapo wanafunzi hata kama hayupo itamwandikia masomo bila maksi wakati Mimi nataka aonekane hajafanya.
Naomba msaada hapo tafadhali.
Pamoja sana mkuu. Nitaifanyia kazi pia hii.Where column A ni column ya majina ya wanafunzi
="CIV- "&IF(AND(A2<>"",B2=""),"ABS",IF(B2>=81,"A",IF(B2>=61,"B",.........IF(B2>=0,"F"))))))&" KISW- "&IF(AND(A2<>"",C2=""),"ABS",IF(C2>=81,"A",IF(C2>=61,"B",.........IF(C2>=0,"F"))))))&" HIST- "&IF(AND(A2<>"",D2=""),"ABS",IF(D2>=81,"A",IF(D2>=61,"B",.........IF(D2>=0,"F")))))).......
Imefanya kazi mkuu.Where column A ni column ya majina ya wanafunzi
="CIV- "&IF(AND(A2<>"",B2=""),"ABS",IF(B2>=81,"A",IF(B2>=61,"B",.........IF(B2>=0,"F"))))))&" KISW- "&IF(AND(A2<>"",C2=""),"ABS",IF(C2>=81,"A",IF(C2>=61,"B",.........IF(C2>=0,"F"))))))&" HIST- "&IF(AND(A2<>"",D2=""),"ABS",IF(D2>=81,"A",IF(D2>=61,"B",.........IF(D2>=0,"F")))))).......
Pamoja ndgImefanya kazi mkuu.
Shukrani Sana.
Sema mwamba yuko nondo...Imefanya kazi mkuu.
Shukrani Sana.
Sana aisee.Sema mwamba yuko nondo...