Asante Kwa Swali Lako na samahani Kwa kuchelewa kukujibu..
Hapo tutatumia function ya RANK na Sio SORTING kama mdau mmoja alivoelekeza..
Unaandika =RANK(C3,C3:C12,1)
Formula hiyo iweke Kwenye Column mwanzo ili uweze ku Drag mpaka mwisho...
Lakini kumbuka C3 ni namba unayotaka ipewe nafasi yake
C3:C12 ndio range ambao Unataka itumike na hiyo moja ya mwisho ni kwamba ianze kuhesabu namba kuanzia 1 na Sio 0,1,2....
Pia hakikisha una ongezea Alama ya $ Kwenye kila herufi ya range yako ili unapodrag isibadilishe maana..
Kwahiyo itakuwa =RANK(C4,$C$3:$C$12,1)