Tupeane maujanja ya Excel

Tupeane maujanja ya Excel

Hata Vlookup, ningeitumia ningekopi hizo headings nikaziweka vertically nikainsert formula na kupata majibu baada ya kuwasort alphabetically

Mimi nilikuwa nataka general formula ya kutumia hata kama hawajawa sorted (multiple names)
In case kama lookup values zipo nyingi (zaidi ya moja),VLOOKUP huwa inachukua data ya kwanza tu, data zingine zinazofuata zinakuwa omitted
 
Hata Vlookup, ningeitumia ningekopi hizo headings nikaziweka vertically nikainsert formula na kupata majibu baada ya kuwasort alphabetically

Mi nilikuwa nataka general formula ya kutumia hata kama hawajawa sorted (multiple names)
Vlookup haiwezi kwa case yako,labda uifanyie nested na formula nyingine,hata index match haiwezi pia peke yake kukupa jibu unalotaka,hizo ni just lookup functions,weka majina ya kila casual unaetaka kupata amount zao,hauna haja ya kusort wala kufilter chochote,thn tumia formula aliyokupa Njuka au sumif kupata total ya kila mmoja thn mwisho tafuta grand total, alternative unaweza kutumia Pivot Table, kama hautaki kuandika table ya summary,hakikisha kwenye value unabadilisha count iwe sum.
 
In case kama lookup values zipo nyingi (zaidi ya moja),VLOOKUP huwa inachukua data ya kwanza tu, data zingine zinazofuata zinakuwa omitted
Si naikopi kwenye values zingine alafu nakuwa nabadilisha column index number kwa kuitafuta matching value ninayoitaka au inakaaje hapa
 
Vlookup haiwezi kwa case yako,labda uifanyie nested na formula nyingine,hata index match haiwezi pia peke yake kukupa jibu unalotaka,hizo ni just lookup functions,weka majina ya kila casual unaetaka kupata amount zao,hauna haja ya kusort wala kufilter chochote,thn tumia formula aliyokupa Njuka au sumif kupata total ya kila mmoja thn mwisho tafuta grand total, alternative unaweza kutumia Pivot Table, kama hautaki kuandika table ya summary,hakikisha kwenye value unabadilisha count iwe sum.
Kwenye pivot huko ndo sijajaribu, hebu ngoja nione
 
Asante Kwa Swali Lako na samahani Kwa kuchelewa kukujibu..

Hapo tutatumia function ya RANK na Sio SORTING kama mdau mmoja alivoelekeza..

Unaandika =RANK(C3,C3:C12,1)

Formula hiyo iweke Kwenye Column mwanzo ili uweze ku Drag mpaka mwisho...

Lakini kumbuka C3 ni namba unayotaka ipewe nafasi yake

C3:C12 ndio range ambao Unataka itumike na hiyo moja ya mwisho ni kwamba ianze kuhesabu namba kuanzia 1 na Sio 0,1,2....

Pia hakikisha una ongezea Alama ya $ Kwenye kila herufi ya range yako ili unapodrag isibadilishe maana..

Kwahiyo itakuwa =RANK(C4,$C$3:$C$12,1)
6624a57f67624937780f2000b43dc54f.jpg
Nikitaka ku drag kwenye simu nafanyaje
 
Attachments

  • Screenshot_20230107-233120.png
    Screenshot_20230107-233120.png
    10.7 KB · Views: 22
Si naikopi kwenye values zingine alafu nakuwa nabadilisha column index number kwa kuitafuta matching value ninayoitaka au inakaaje hapa
Kwasababu pc unayo, kwanini usingekuwa unajaribu kufanya kwanza ili ukaona output inatokeaje mana ukisema usubiri mpaka mtu akuambie ukifanya hivi kinatokea hiki utachelewa sana kujifunza
 
Hapa nilikuwa najaribu kuwa na alternatives ngapi katika kusolve hii issue, already solved
 
Unganisha text na formula kwa kutumia alama &
Mfano
="CIV- "&IF(B2>=81,"A",IF(B2>=61,"B",.........IF(B2>=0,"F")))))&" KISW- "&IF(C2>=81,"A",IF(C2>=61,"B",.........IF(C2>=0,"F")))))&" HIST- "&IF(D2>=81,"A",IF(D2>=61,"B",.........IF(D2>=0,"F"))))).......
Mkuu nashukuru sana. Nimeifanyia kazi hii na nimepata matokeo ninayoyataka.
Naomba pia kufahamu iwapo mwanafunzi hajafanya mtihani(absent), nifanyeje Ili ionekane hayupo?
Kwa formula hizo hapo wanafunzi hata kama hayupo itamwandikia masomo bila maksi wakati Mimi nataka aonekane hajafanya.
Naomba msaada hapo tafadhali.
 
Where column A ni column ya majina ya wanafunzi

="CIV- "&IF(AND(A2<>"",B2=""),"ABS",IF(B2>=81,"A",IF(B2>=61,"B",.........IF(B2>=0,"F"))))))&" KISW- "&IF(AND(A2<>"",C2=""),"ABS",IF(C2>=81,"A",IF(C2>=61,"B",.........IF(C2>=0,"F"))))))&" HIST- "&IF(AND(A2<>"",D2=""),"ABS",IF(D2>=81,"A",IF(D2>=61,"B",.........IF(D2>=0,"F")))))).......
 
Pamoja sana mkuu. Nitaifanyia kazi pia hii.
Nitatoa mrejesho.
Ahsante sana.
 
Where column A ni column ya majina ya wanafunzi

="CIV- "&IF(AND(A2<>"",B2=""),"ABS",IF(B2>=81,"A",IF(B2>=61,"B",.........IF(B2>=0,"F"))))))&" KISW- "&IF(AND(A2<>"",C2=""),"ABS",IF(C2>=81,"A",IF(C2>=61,"B",.........IF(C2>=0,"F"))))))&" HIST- "&IF(AND(A2<>"",D2=""),"ABS",IF(D2>=81,"A",IF(D2>=61,"B",.........IF(D2>=0,"F")))))).......
Imefanya kazi mkuu.
Shukrani Sana.
 
Back
Top Bottom