Tupeane maujanja ya Excel

Hiyo column ya tarehe ipo katika format gani? May be utakuwa umeiset as a text
Ufafanuzi mkuu...kuna data zilikuwa kwenye word nikaziconvert kwenye excel ili nizicompute kikawaida kwa formula, sasa changamoto iliyokuwepo ni kuwa nikizibadili zinakuwa namba na texts zikiwa zimechanganikana.

Nilitumia Ilove PDF kuzibadili....hapa tatizo litakuwa nini
 
Sio lazima uwe umezifungua hizo workbooks!
 
Wakuu msaada tafadhali,
Tatizo ni Excel(Product Activation Failed)

Nimejaribu hizi procedures
-Local disc C
-Program files
-Microsoft Office
-Office 15
-OSPPREARM(Kwangu haipo, kuna AppSharinghookController64,MSOHTMED na msoia)
-Run as administrator

Sijafanikiwa, nimejaribu kupiga chabo YouTube but bilabila.

Njuka II
 
Wakuu msaada tafadhali,


Nina masupplier watatu wananisupply mafuta ambayo ni Diesel na Petrol,nimetengeneza formula (Sumproduct) ambayo ina criteria 4, ambazo ni Customer Name, Fuel type,Litters, na amount sasa changamoto inakuja kwenye kupata sum ya litters as per customer kama ni Petrol au Diesel.

Sasa nahitaji kupata hiyo sum ya lita
 
@Njuka II ,Tutor B ,Ethos , Promenthous ,philos
 

Ni mwendo wa kuishi kwenye basics tu

Kudos wakuu though nilichelewa sana kuuona huu uzi.
 

Back in days ilikuwa ni very useful thread indeed.
 
SUMIFS(Select Column yote ya Client Name, Select Client Name eg "Hass, Select column yote ya Fuel, Type "Diesel", select column yote ya Amount)
Fafanua vizuri hapa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…