Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubarikiwe mkuu kwa msaada wako.Asante kwa Swali lako zuri..
Andika =SUM( A1:A100) hapo ni kama namba zako zinaanzia A1 hadi A100... hiyo formula iandike sehemu ambayo unataka TOTAL IWE INAONEKANA.. Kadiri utakavyokuwa unaziongeza namba na Idadi itabadilika NAGALIA picha hapa chini na kama utakuwa na swali zaidi karibu
Ukiangalia kwenye formula nime include hadi cells amabzo hazina data ila unapoongeza jumla yake itaonekana kule juu ndio maana nimeandika hadi C80 Hivyo unaweza weka hata C1000 kama data zako ni nyingi
![]()
Sheet 1ina columns moja yenye registration number, sheet 2 ina columns nne zenye registration number kama za sheet 1, na other attributes .eg age, name, address,salary.Unaweza ukarudia swali lako au elezea kidogo ieleweke
Shukrani mkuu kwa maelezoHighlight column husika, then nenda kwenye data sort chagua Z to A
Tupe maujanja nkuu.Nilikutana na mtu anayetengeneza database system kwa excel dah htr sana
Mimi huwa natumia formula then na drag kama items Kwenye both sheets Unataka zifanane..Sheet 1ina columns moja yenye registration number, sheet 2 ina columns nne zenye registration number kama za sheet 1, na other attributes .eg age, name, address,salary.
Sasa nataka nizi return hizo columns toka sheet 2 kuja sheet one ,at once.
Kwa kutumia vlookup nafanyaje.
Okay,Mimi huwa natumia formula then na drag kama items Kwenye both sheets Unataka zifanane..
The same column Kwenye Sheet 2 andika =Sheet!1A1 then column A1 kutoka Sheet1 na items zake itatokea kama ilivo Kwa ku drag hadi mwisho fanya hivo hivo Kwa column zote zilizobakia =Sheet!1B1 na kuendelea
Kuhusu hiyo ya VLOOKUP Tusubiri wadau wengine wanaweza changia zaidi
Naomba upige picha uweke hapo tutaelewa Kwa haraka mkuu.. Asante Kwa Swali lakoWakuu naomba pia kufahamishwa ninapokuwa na sum up numbers naanza vizuri ninapofika kama row ya kumi na kuendelea inapoteza mwelekeo/inatoa majibu yasiyo sahihi tatizo ni nini? Natumia exel 2013/16.
Sheet 1ina columns moja yenye registration number, sheet 2 ina columns nne zenye registration number kama za sheet 1, na other attributes .eg age, name, address,salary.
Sasa nataka nizi return hizo columns toka sheet 2 kuja sheet one ,at once.
Kwa kutumia vlookup nafanyaje.
Okay,
Vlookup naifahamu vizuri,
Nahisi index+ match inaweza saidia.