Tupeane maujanja ya Excel

Tupeane maujanja ya Excel

Asante kwa Swali lako zuri..

Andika =SUM( A1:A100) hapo ni kama namba zako zinaanzia A1 hadi A100... hiyo formula iandike sehemu ambayo unataka TOTAL IWE INAONEKANA.. Kadiri utakavyokuwa unaziongeza namba na Idadi itabadilika NAGALIA picha hapa chini na kama utakuwa na swali zaidi karibu

Ukiangalia kwenye formula nime include hadi cells amabzo hazina data ila unapoongeza jumla yake itaonekana kule juu ndio maana nimeandika hadi C80 Hivyo unaweza weka hata C1000 kama data zako ni nyingi

ba1fb404d09f47de2300c63625531a5d.jpg
Ubarikiwe mkuu kwa msaada wako.
 
Unaweza ukarudia swali lako au elezea kidogo ieleweke
Sheet 1ina columns moja yenye registration number, sheet 2 ina columns nne zenye registration number kama za sheet 1, na other attributes .eg age, name, address,salary.

Sasa nataka nizi return hizo columns toka sheet 2 kuja sheet one ,at once.
Kwa kutumia vlookup nafanyaje.
 
Mimi huwa natumia formula then na drag kama items Kwenye both sheets Unataka zifanane..

The same column Kwenye Sheet 2 andika =Sheet!1A1 then column A1 kutoka Sheet1 na items zake itatokea kama ilivo Kwa ku drag hadi mwisho fanya hivo hivo Kwa column zote zilizobakia =Sheet!1B1 na kuendelea

Kuhusu hiyo ya VLOOKUP Tusubiri wadau wengine wanaweza changia zaidi
 
Okay,

Vlookup naifahamu vizuri,

Nahisi index+ match inaweza saidia.
 
Wakuu naomba pia kufahamishwa ninapokuwa na sum up numbers naanza vizuri ninapofika kama row ya kumi na kuendelea inapoteza mwelekeo/inatoa majibu yasiyo sahihi tatizo ni nini? Natumia exel 2013/16.
 
Wakuu naomba pia kufahamishwa ninapokuwa na sum up numbers naanza vizuri ninapofika kama row ya kumi na kuendelea inapoteza mwelekeo/inatoa majibu yasiyo sahihi tatizo ni nini? Natumia exel 2013/16.
Naomba upige picha uweke hapo tutaelewa Kwa haraka mkuu.. Asante Kwa Swali lako
 
Sheet 1ina columns moja yenye registration number, sheet 2 ina columns nne zenye registration number kama za sheet 1, na other attributes .eg age, name, address,salary.

Sasa nataka nizi return hizo columns toka sheet 2 kuja sheet one ,at once.
Kwa kutumia vlookup nafanyaje.

Mkuu asante kwa ufafanuzi.. nadhani hapo VLOOKUP haitatumika..
Okay,

Vlookup naifahamu vizuri,

Nahisi index+ match inaweza saidia.

Vile vile unaweza andika =sheet1!A1 kwenye sheet ingine yeyote halafu una drag to the right utapata the same columns headings na uki drag down jwa kila column down utapata data zote kama zilivo katika sheet ingine ... any update you make on the original sheet will be reflected to the second sheet in real time
 
Alama Muhimu Katika Excel
Kujumlisha + unaweza andika =23+45+23 au kutumia cell reference au SUM FUCTION
Kutoa -
Kuzidisha *
Kugawanya/
Kipeo ^ (mfano: B5^2 ni kepeo cha pili cha B5 kama B5=5 ina maana utaandika =B5^2 itakupa 25
kubwa kuliko>
Ndogo kuliko<
kubwa kuliko au sawa sawa >=
ndogo kuliko au sawasawa <=
kuunganisha maneno au namba tumia & mfano kama B5=23 na C1= TZ ukiandika =C1&B5 Itakuletea TZ23 huu ni mbadala wa kutumia function ya CONTACANATE kama nilivomjibu mdau mmoja huko juu
 
JINSI YA KUWEKA DROP DOWN LIST

Unaweza ukataka kuweka list ambayo mtumiaji anataka achague kitu fulani na ajaze kadiri ya matumizi yako...

Kitu cha kwanza andika list ya hizo items au majina katika sehemu yeyote katika Sheet yako

Nenda Kwenye Data >>> Data Validation kitatokea kibox kidogo... Bonyeza settings halafu nenda chini Kwenye Allow chagua list kama inavoonekana hapo chini
e134da96c927d1f11e2b78fcf50cc730.jpg

Baada ya hapo Kwenye source andika range ambayo hizo items ulizoziandika zipo.. Kwa Sheet yangu ni =$F$2:$F$6
192c70d861bb3168cd636480b812db35.jpg
f74588778e817d878083006baf256793.jpg

Halafu bonyeza OK

mwisho sheet yako inatakiwa ionekane hivi
photo_2016-11-19_13-16-48.jpg
 
Back
Top Bottom