Tupeane maujanja ya Excel

Tupeane maujanja ya Excel

Nataka kujua namna ya kuweka 00, mwanzo wa namba mfano nikitaka kuandika namba moja 1, ianze na 001, hivyo hivyo mpaka mwisho
Tumia TEXT function. Mfano kama namba yako ni 12345 na ipo cell A1 na unataka ianze na 00 ili isomeke 0012345, badi andika =TEXT(A1,"0000000"). Unaweza weka space kati ya namba pia...
 
Msaada wa jinsi kupanga madaraja ya ufaulu na nafasi zao
 
Msaada wa jinsi kupanga madaraja ya ufaulu na nafasi zao
Tayari nimeelezea Kwa Video ili kuokoa muda kule Telegram.. Tafadhali Ingia ucheki
189d3639a2e4d329fb95d77b81280543.jpg
 
Ni shi
Njoo upate hayo maujanja ofisini kwetu The Computer Skills (ComSkills), Makumbusho Business Complex, 2nd Floor kuanzia saa 2 asub mpka 2 usiku. You will not be disappointed. Call 0717718519
ngap hyo course?
 
Njoo upate kujua maujanja ya advance use of excel, jinsi ya kumanage data in excel, jinsi ya kutumia function mbali mbali, working with "filter" and "sort " in data analysis nichek kwa # hii nikupe maujanja 0762243055
Hapa kuna dalili za uchoyo......
 
I think its time sasa na mm nianze kujifunza excel, course ninayosoma nisipojua excel sijui analysis na design nitaifanyaje mhh.... Master series haitoshi aseeh
 
Tayari nimeelezea Kwa Video ili kuokoa muda kule Telegram.. Tafadhali Ingia

Mkuu kwanza nikupongeze kwa jitihada na mafunzo yako, hivi huezi tuekea kapa video, kuliko kuzifuata huko Telegram
 
JF hai support video mpaka labda iwe katika platform ingine.. Video moja Kwa moja haiwezekani

Niliwaza kufungua YouTube channel ili niwe naweka hapa mtu aende direct Lakini itakuwa usumbufu
 
Njoo upate kujua maujanja ya advance use of excel, jinsi ya kumanage data in excel, jinsi ya kutumia function mbali mbali, working with "filter" and "sort " in data analysis nichek kwa # hii nikupe maujanja 0762243055
Mkuu kwanini usishare hapa kama ambavyo muanzia Uzi anafanya
 
Poa, ila nimeshindwa kwenda telegram sa sijui unanisaidiaje
 
Poa, ila nimeshindwa kwenda telegram sa sijui unanisaidiaje
Download App yake kwanza kutoka playstore halafu Gonga hiyo link ipo mwanzo wa Uzi itakupeleka moja Kwa moja
 
1 Nov received 2000 @ Tzs100
5 Nov received 620 @ Tzs100.50
7 Nov issued 1350
11 Nov received 600 @ Tzs110.50
13 Nov received 400 @ Tzs120.50
17 Nov issued 1250
19 Nov received 1050 @ Tzs110
22 Nov received 640 @Tzs 100.50
23 Nov issued 250

Habari wakuu naomba msaada kwa yeyote ambaye anafahamu nataka niziingize katika excell kwa kutumia FIFO na LIFO wakuu hizo bidhaa naombeni muongozo kwa hilo.Ahsanteh sana
Unauliza maswali mazuri... Hili pia ni swali zuri hope ndugu yetu atatolea ufafanuzi, chukua like....binafsi najuwa kuandaa kwenye karatasi ila kwenye Excel huwa ni mtihani.....naamini hapa nitaongeza Knowledge...labda kwa picha tu huwa inamkao wa hivi. FIFO, LIFO

Date purchase sales balance
Unit|unit cos|to same same
 
Hiyo fifo na lifo ndio nini mkuu??
 
Hah pamoja mkuu! mimi mwenyewe niligonga madesa tu sasa nataka nipanue uelewa walau kidogo kwa mkuu hapo
 
Hiyo fifo na lifo ndio nini mkuu??
Ni hivi mkuu, hivi vitu ni strategy za kutumia to control inventory katika muktadha wa KUNUNUA , KUUZA na kinacho baki(BALANCE ).... kwa kuzingatia mtiririko wa kilichopokelewa awali... (FIFO=FIRST IN FIRST OUT), (LIFO=LAST IN FIRST OUT)
 
Mfano una hold stock ya samaki hapo lazima u deal na hii FIFO means first in first out yaan unaanza kuuza au kuutoa mzigo ambao ulikuwa wa kwanza kuupokeail ni mfano wa jinsi inavotumika hizo njia kitaalamu.
 
Back
Top Bottom