Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia TEXT function. Mfano kama namba yako ni 12345 na ipo cell A1 na unataka ianze na 00 ili isomeke 0012345, badi andika =TEXT(A1,"0000000"). Unaweza weka space kati ya namba pia...Nataka kujua namna ya kuweka 00, mwanzo wa namba mfano nikitaka kuandika namba moja 1, ianze na 001, hivyo hivyo mpaka mwisho
ngap hyo course?Njoo upate hayo maujanja ofisini kwetu The Computer Skills (ComSkills), Makumbusho Business Complex, 2nd Floor kuanzia saa 2 asub mpka 2 usiku. You will not be disappointed. Call 0717718519
Hapa kuna dalili za uchoyo......Njoo upate kujua maujanja ya advance use of excel, jinsi ya kumanage data in excel, jinsi ya kutumia function mbali mbali, working with "filter" and "sort " in data analysis nichek kwa # hii nikupe maujanja 0762243055
Tayari nimeelezea Kwa Video ili kuokoa muda kule Telegram.. Tafadhali Ingia
Mkuu kwanza nikupongeze kwa jitihada na mafunzo yako, hivi huezi tuekea kapa video, kuliko kuzifuata huko Telegram
Mkuu kwanini usishare hapa kama ambavyo muanzia Uzi anafanyaNjoo upate kujua maujanja ya advance use of excel, jinsi ya kumanage data in excel, jinsi ya kutumia function mbali mbali, working with "filter" and "sort " in data analysis nichek kwa # hii nikupe maujanja 0762243055
Unauliza maswali mazuri... Hili pia ni swali zuri hope ndugu yetu atatolea ufafanuzi, chukua like....binafsi najuwa kuandaa kwenye karatasi ila kwenye Excel huwa ni mtihani.....naamini hapa nitaongeza Knowledge...labda kwa picha tu huwa inamkao wa hivi. FIFO, LIFO1 Nov received 2000 @ Tzs100
5 Nov received 620 @ Tzs100.50
7 Nov issued 1350
11 Nov received 600 @ Tzs110.50
13 Nov received 400 @ Tzs120.50
17 Nov issued 1250
19 Nov received 1050 @ Tzs110
22 Nov received 640 @Tzs 100.50
23 Nov issued 250
Habari wakuu naomba msaada kwa yeyote ambaye anafahamu nataka niziingize katika excell kwa kutumia FIFO na LIFO wakuu hizo bidhaa naombeni muongozo kwa hilo.Ahsanteh sana
Hiyo fifo na lifo ndio nini mkuu??Unauliza maswali mazuri... Hili pia ni swali zuri hope ndugu yetu atatolea ufafanuzi, chukua like....binafsi najuwa kuandaa kwenye karatasi ila kwenye Excel huwa ni mtihani.....naamini hapa nitaongeza Knowledge...labda kwa picha tu huwa inamkao wa hivi. FIFO, LIFO
Date purchase sales balance
Unit|unit cos|to same same
Hah pamoja mkuu! mimi mwenyewe niligonga madesa tu sasa nataka nipanue uelewa walau kidogo kwa mkuu hapoUnauliza maswali mazuri... Hili pia ni swali zuri hope ndugu yetu atatolea ufafanuzi, chukua like....binafsi najuwa kuandaa kwenye karatasi ila kwenye Excel huwa ni mtihani.....naamini hapa nitaongeza Knowledge...labda kwa picha tu huwa inamkao wa hivi. FIFO, LIFO
Date purchase sales balance
Unit|unit cos|to same same
Ni hivi mkuu, hivi vitu ni strategy za kutumia to control inventory katika muktadha wa KUNUNUA , KUUZA na kinacho baki(BALANCE ).... kwa kuzingatia mtiririko wa kilichopokelewa awali... (FIFO=FIRST IN FIRST OUT), (LIFO=LAST IN FIRST OUT)Hiyo fifo na lifo ndio nini mkuu??
Njia ambazo hutumika ku manage stocks ambazo una hold mkuu!Hiyo fifo na lifo ndio nini mkuu??
Ni hivi mkuu, hivi vitu ni strategy za kutumia to control inventory katika muktadha wa KUNUNUA , KUUZA na kinacho baki(BALANCE ).... kwa kuzingatia mtiririko wa kilichopokelewa awali... (FIFO=FIRST IN FIRST OUT), (LIFO=LAST IN FIRST OUT)
Hiyo fifo na lifo ndio nini mkuu??