Tupeane mbinu: Ni uwekezaji gani wa zao la kudumu ambalo nikilima linaweza kunipa kipato toshelezi?

Lima kahawa Mbeya au Mbinga Songea. Kahawa ya kisasa miaka mitatu unaanza kuvuna.

Pia korosho ya mda mfupi nadhani miaka miwili au mitatu unaanza kuvuna.

Kahawa nifuate nikupe update zake me nimelima naanza kuvuna mwaka huu.
Korosho ya muda mfupi miaka miwili unaanza kuvuna ni ipi hiyo??

Mbona mnapenda kurahisisha mambo??
 
Mkuu ulikimbia kazi za madiwani?
 
Lima kahawa Mbeya au Mbinga Songea. Kahawa ya kisasa miaka mitatu unaanza kuvuna.

Pia korosho ya mda mfupi nadhani miaka miwili au mitatu unaanza kuvuna.

Kahawa nifuate nikupe update zake me nimelima naanza kuvuna mwaka huu.
Mi ntakuja inbox mwakan
 
Naomba uweke picha ya hiyo kahawa. Tujue mti wake ukoje na kahawa yake ikoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…