aliyetegwa
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 313
- 486
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nicheki PM mkuuNatafuta mashamba ya kununua kaka. Huko moro yakoje yakoje na yanauzwaje
Korosho ya muda mfupi miaka miwili unaanza kuvuna ni ipi hiyo??Lima kahawa Mbeya au Mbinga Songea. Kahawa ya kisasa miaka mitatu unaanza kuvuna.
Pia korosho ya mda mfupi nadhani miaka miwili au mitatu unaanza kuvuna.
Kahawa nifuate nikupe update zake me nimelima naanza kuvuna mwaka huu.
Mkuu ulikimbia kazi za madiwani?Ushuhuda wangu
Mwaka 2015 nilikua kwenye ajira ya mateso kwani nilikua sina familia lakini kipato kilikua hakinitoshi
Kuna pesa niliipata nikaamua kununua pori la ekari 4
Aisee niliamua kufia shambani kwa kilimo Cha machungwa
Kwa kila kidogo nilichokua nakipata nilikipeleka Shamba
2019 niliamua kuacha kazi Rasmi nikawa busy na Shamba
Hapa usomi wangu niliuweka pembeni nikauvaa ukulima hasa
Marafiki na ndugu wengi walinikimbia kwa kuona nitakua mzigo kwangu
Nilipambana haswa
Mpaka naandika uzi huu kilimo cha machungwa kimenipa Heshima kwenye jamii
Sina muda mrefu na mimi nitaanza kutoa ushuhuda ya kwamba bora kujiajiri kuliko kuajiriwa hasa kwenye hizi kazi za Local Government
WEwe ndio ilibidi utoe somo sio kumsuta kama mwanamke.Korosho ya muda mfupi miaka miwili unaanza kuvuna ni ipi hiyo??
Mbona mnapenda kurahisisha mambo??
Mi ntakuja inbox mwakanLima kahawa Mbeya au Mbinga Songea. Kahawa ya kisasa miaka mitatu unaanza kuvuna.
Pia korosho ya mda mfupi nadhani miaka miwili au mitatu unaanza kuvuna.
Kahawa nifuate nikupe update zake me nimelima naanza kuvuna mwaka huu.
Acheni kurahisisha mambo na vilimo vyenu vya kwenye makaratasiWEwe ndio ilibidi utoe somo sio kumsuta kama mwanamke.
Naomba uweke picha ya hiyo kahawa. Tujue mti wake ukoje na kahawa yake ikojeKuna kahawa ya asili unaweza kulima hata mikoa ya pwani inatokana na mkunde pori, kahawa yake ni tamu, haina madhara kama ya kahawa ya Kawaida, ni dawa, inakuacha na nguvu mwilini kwa masaa mengi, miezi kadhaa tu unavuna, inastahimili sana ukame, haihitaji mbolea wakati wa kuilima