Kama ni hivyo mean kuna kitu ulikosea mipango ya pamoja ya kuinuka kiuchumi kwa kufanya kazi pamoja may be ulijifunga commit kumhudumia kila kitu ulitumia nguvu nyingi kumshawishi
mtu yupo above 25 atakua zaidi kweli?
Unajua alafu unazingua...we haya!!!Happy sabath's day...sijui ndo inaitwa hivyo kweli
Kwasababu ya dini ndo asitimuliwe!?au kumtafutia kimada mwingine?
Ndiyo maana niliapa kuwa sintokuja kuoa
This is out of topic. :focus:Yani wewe...umeoa?
This is out of topic. :focus:
biblia inasema nibora ukaishi peke yako nyikani au kuishi darini kwenye nyumba yako kuliko kuishi na mwanamke mgonvi
Wapi kwenye biblia? Nimependa huo mstari Mkuu....
Mithali 21:9 na wa 19.
Habari wanajamii,
Ni muda mrefu sijaingia humu sababu ya pilikapilika zilizokuwepo pamoja na kuwepo kwa magroup ya whatsupp kumepunguza concentration ya kuchangia mada humu.
Naomba tupeane mbinu za kuishi na mwanamke mgomvi kwenye ndoa ambae kila wakati anakuwa mtu wa ku complain kwamba ananyanyaswa ila ukamwambia akueleze unamnyanyasa na kitu gani hana jibu, ukijaribu kuangalia ama kujiuliza unamnyanyasa na nini huoni.
Kuna wanawake ambao hawaridhiki hivyo kila unachomfanyia anaona humtoshelezi. Akitaka kila siku wiki nzima mle nyama mtakula ila bado atalalamika sili vizuri.
Kama una tv ndani, labda anataka yeye aangalie chanel zake tu kwakuwa labda ana interest na movies, atashinda asubuhi hadi jioni na tv, ila wewe ukitaka uangalie taarifa ya habari ya saa 2 usiku ya dakika 20, atasema huo ni udikteta na unambagua.
Hazipiti siku 2 bila kupigiana simu na mama yake, ila baba mkwe atakaa hata mwaka hajamjulia hali. Ukimwonya kitu anasema huo ni uonevu, sipendi kukoromewa nitaenda kwetu.
Mwanamke kama huyu ambaye hawazi positively hata siku moja bali kuwaza negatively kila wakati na anakuwa mpinzani kwa kila kitu katika ndoa ni njia gani nzuri ya kuishi nae maana wengine tuna mioyo ya ubushoke ila siyo kwa kupenda bali kutokana na heshima mtu unakuwa nayo sasa ukiwaza kuchukua maamuzi magumu, jamii itakuangalia tofauti.
Najua huku kuna washauri wazuri na waliobobea bila kuwasahau wafurahishaji, wapondaji na watukanaji.
Nawasilisha.
Cha ajabu wanaume wenye wanawake visokolokwinyo namna hiyo wanakuaga na upendo nao hawafurukuti he he he ila wenye wake wenye nidhamu na vyeti vya nidhamu kabatini wanaruka ruka kama popcorn pole sana....solution kubwa ni kuget busy na mambo mengine as long as ushamjua tabia yake usimpe attention kiivo huu ni nusu ya ushauri nusu nyingine nakupm
Mbona dawa yao ndogo tu. Tengeneza kifaa kinachofanana na mwiko kifiche mahali.
Akianza kulalama ww usimjibu kuwa kimya tu, kama anandelea kuongea ww nenda sehem ulipouficha ule mwiko. Uchukue taratiibu halafu msogelee huku ukiwa umeuficha. Akiwa anaendelea kulalama utoe huo mwiko mtandike nao huko kwenye kimdomo chake hasa mashavuni zibua kama mara tatu huku ukiwa kimya bila kuongea kitu. Utamwona baada ya wiki harudii. Haina hata ya kurumbana na wanawake wa aina hyo hao n kipigo tu