Tupeane mbinu za kuishi na mwanamke mgomvi kwenye ndoa

nadhani kosa hapa ni kuoana na mtu ambaye interest zenu haziendani but anyway ndo ishatokea tayari. cha kukusaidia hapa ni jitahidi weekend hii au ijayo mtoe out sehemu nzuri,ale anachopenda halafu huku mkiwa mnakula mwambie kwa upendo kabisa ni namna gani ungependa abadilike na aache kuwa mgomvi.Nadhani kwa mwanamke mwenye akili hapa lazima abadilike
 
Kuwa mgomvi zaidi yake.

Kuna kipimo kinaitwa Ugomvimeter. Mpime hapo then zidisha maradufu.
 

hii safi sana.Glory be to Almighty God. Muendelee vyema
 
mlie mkuyati alafu umfanye mapenzi siku nzima alafu uone kama ana tatizo lingine , labda kiu ya penzi alafu anashindwa tu kusema ,,
 

Hahahahaha, umenichekesha sana
 

Utakua na asili ya kina Muraaa wewe
 
Pole Sana Mkuu Unahitaji Hekima Na Busara Ya Ziada Kuishi Na huyo Mtu maadam umemuelewa Alivyo

Pia jaribu Muwe mnahudhuria Kwenye Semina Za wanandoa may be zinaweza mbadilisha
 

Attachments

  • 1447513820737.jpg
    19.7 KB · Views: 338
dini hairuhusu kabisa aisee halafu anasema akiondoka kukimshinda atakuja kuomba msamaha, hivyo hata ukitimua kuna kurudi. Kikubwa labda kutimuliwa mbele ya mashahidi.

Unampenda na anajua ndo maana anaku-control, simama kama mwanaume i.e. kama unaangalia TV-taarifa ya habari akisema anataka kuangalia filamu n.k mwambie naangalia taarifa ya habari(short n clear) akianza kulalama mwambie afunge mdomo aache ubinafsi.

Akisema anaenda kwao mwambie aende(nakuhakikishia hataenda, na akienda hatakaa!!! )

Mungu alipotuambia tuishi nao kwa akili alikuwa na maana kubwa sana ambayo bahati mbaya wengi wetu hatuijui.
 

hahahaha nikifanya hivyo analia usiku mzima, nikimwuliza unalia nini hasemi
 
Pole Sana Mkuu Unahitaji Hekima Na Busara Ya Ziada Kuishi Na huyo Mtu maadam umemuelewa Alivyo

Pia jaribu Muwe mnahudhuria Kwenye Semina Za wanandoa may be zinaweza mbadilisha

semina ndo hana habari nazo kabisa labda nimwanzishie dozi ya neno la Mungu kwakuwa ana hofu ya Mungu. Hapo ni kitabu gani mkuu umepiga picha?
 

Huuh ushauri kiboko aisee amwandalie kimwiko hahaaaa amchape kiruuuuu umesahau kuwa upele humwota asiye na kucha. Huyu mkewe kamweka kwenye kipochi manyoya hafurukuti
 
Fanya juhudi za kubadilika kwanza wewe mwenyewe kabla hujafikiria kumbadilisha mtu.
 
Kama hana shughuli za kufanya;mtatafutie kazi ili awe bize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…