Unafaa sana huu ushauri, mleta mada angalia namna ya kuuzingatia.1. Wahi kazini, ondoka muda wako ukifika.
2. Akikusema umefanya kazi vibaya, muombe ushauri ufanyeje, fanya anavyotaka.
3. Kua na simu/laini mbili. Ya kazini iwe on muda wa kazi. Ya nyumbani on 24/7.
4. Usijuane nae nje ya mambo ya kazi.
5. Dai haki zako kwa maandishi, kila kutunata ushauri weka kwa maandishi.
Uko vizuri, Asisahau na kujiimarisha ki uchumi...1. Wahi kazini, ondoka muda wako ukifika.
2. Akikusema umefanya kazi vibaya, muombe ushauri ufanyeje, fanya anavyotaka.
3. Kua na simu/laini mbili. Ya kazini iwe on muda wa kazi. Ya nyumbani on 24/7.
4. Usijuane nae nje ya mambo ya kazi.
5. Dai haki zako kwa maandishi, kila kutunata ushauri weka kwa maandishi.
Mbona hao tumekubaliana tukiwaona kwenye majukwaa ni kuwavizia wakati wanatoka tunawapiga mawe tuViongozi wa Simba sport club tuishi nao vipi?Naombeni muongozo!!
Asante kwa muongozo uliotukuka!!Mbona hao tumekubaliana tukiwaona kwenye majukwaa ni kuwavizia wakati wanatoka tunawapiga mawe tu