Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu, tupeane mbinu aisee kama kichwa cha habari kinavosema.
Nilikua naenda kununua betri ya laptop, kwenye wallet nlikua na elfu 80/-. Nimefika shop na kupatanisha betri, ile nataka kutoa hela nakuta mfuko tupu, wamechomoa wallet na ndo ilikua na hela.
Wallet nliweka mfuko wa mbele wa suruali ya jeans na ilizama yote lakin watu wapepita nayo.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukitaka usiibiwe kariakoo hakikisha ukiguswa Na mtu yeyote usimuangalie.yaani akikushika kulia basi hua kushoto ndio kuna mwizi wanakuaga wawili
Wezi wa bongo mkuu si anaipiga nyundo tu anachukua mpunga au ikoje hiyo?Nunueni electronic wallet.... Zina alarm, pia zina GPRS na Camera... Pia sehemu ya kuwekea na kutolea PESA kuna finger prints password.... Kazi kwako
Ipo siku utaibiwa papuchi sijui utarudije kwa jamaa/mumeo...
Wakuu, tupeane mbinu aisee kama kichwa cha habari kinavosema.
Nilikua naenda kununua betri ya laptop, kwenye wallet nlikua na elfu 80/-. Nimefika shop na kupatanisha betri, ile nataka kutoa hela nakuta mfuko tupu, wamechomoa wallet na ndo ilikua na hela.
Wallet nliweka mfuko wa mbele wa suruali ya jeans na ilizama yote lakin watu wapepita nayo.
Mkuu mm wa hapahapa bro. Sema tu Kariakoo kuna wizi wa ndole ulokubuhuSasa kama umetokea Mbwinde au Kintalamba au Kipwilipwiti au Nantondole Muji au Ikupilipa Nkoba au Kyaka Nkunde Villages kwanini usipigwe ' Ndole ' Kariakoo? Pole sana!
Mkuu mm wa hapahapa bro. Sema tu Kariakoo kuna wizi wa ndole ulokubuhu
Acha uboya Genta, ....kuibiwa ni kila mtu bob. Ispokua nlitaka kujua tu kama kuna maujanja yyte kupambana na wapiga ndole.Mimi kila uchao / siku nakatiza humo humo tena kwa hao ' Masela ' wakubwa wa upigaji ' Ndole ' hapo akina Said Ghaddafi na Wenzake Rama Mijicho na Teja Maulid Mtoto wa Mchikichini lakini hawajawahi hata kunisogelea na kuthubutu kutaka Kuniibia na kuna muda huwa nawakatiza nikiwa nimebeba ' mtonyo ' wa maana tu? Unaonekana Wewe ni ' Sleki Sleki / Nyoro Nyoro ' sana Mkuu.
Jamaa ameomba mbinu ya kujikinga dhidi ya wezi kko wewe unaanza kujisifu huwezi kuibiwa. Mkuu inaonekana wewe ni wa mjini sema una kaushamba flani hivi.Kaliakoo hata uwe na panga na bundiki huniibii o level hapo hapo Uhuru mchanganyiko advance hapo hapo Benjamin mkapa high school labda uwe na kifaru
Nimekuelewa,ila swali moja please,ni hivi hiyo suruali ulikuwa umevaa au umeining'iniza kichwani? Ukinijib nitajua nakushaurije.Wakuu, tupeane mbinu aisee kama kichwa cha habari kinavosema.
Nilikua naenda kununua betri ya laptop, kwenye wallet nlikua na elfu 80/-. Nimefika shop na kupatanisha betri, ile nataka kutoa hela nakuta mfuko tupu, wamechomoa wallet na ndo ilikua na hela.
Wallet nliweka mfuko wa mbele wa suruali ya jeans na ilizama yote lakin watu wapepita nayo.
Unaweza support swali lako na mchoro au picha mkuu, maana sijakuelewa.Nimekuelewa,ila swali moja please,ni hivi hiyo suruali ulikuwa umevaa au umeining'iniza kichwani? Ukinijib nitajua nakushaurije.
hadi na sisi tuibiwe kwanza ndo tutazungumzaWakuu, tupeane mbinu aisee kama kichwa cha habari kinavosema.