Tupeane mbinu za kujikinga na wezi kariakoo. Nimechomolewa wallet ina elfu 80/-

Ukitaka usiibiwe kariakoo hakikisha ukiguswa Na mtu yeyote usimuangalie.yaani akikushika kulia basi hua kushoto ndio kuna mwizi wanakuaga wawili
 
Pole sana Mkuu.

Wakuu, tupeane mbinu aisee kama kichwa cha habari kinavosema.

Nilikua naenda kununua betri ya laptop, kwenye wallet nlikua na elfu 80/-. Nimefika shop na kupatanisha betri, ile nataka kutoa hela nakuta mfuko tupu, wamechomoa wallet na ndo ilikua na hela.

Wallet nliweka mfuko wa mbele wa suruali ya jeans na ilizama yote lakin watu wapepita nayo.
 
Ukitaka usiibiwe kariakoo hakikisha ukiguswa Na mtu yeyote usimuangalie.yaani akikushika kulia basi hua kushoto ndio kuna mwizi wanakuaga wawili
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nunueni electronic wallet.... Zina alarm, pia zina GPRS na Camera... Pia sehemu ya kuwekea na kutolea PESA kuna finger prints password.... Kazi kwako
Wezi wa bongo mkuu si anaipiga nyundo tu anachukua mpunga au ikoje hiyo?
 
Chukua wallet usiotumia, kata karatasi tia ndani Kisha weka mfuko wa nyuma, mwambie rafiki yako mliyenaye atembee nyuma yako, mwizi mtamwona tu.
 
Wakuu, tupeane mbinu aisee kama kichwa cha habari kinavosema.

Nilikua naenda kununua betri ya laptop, kwenye wallet nlikua na elfu 80/-. Nimefika shop na kupatanisha betri, ile nataka kutoa hela nakuta mfuko tupu, wamechomoa wallet na ndo ilikua na hela.

Wallet nliweka mfuko wa mbele wa suruali ya jeans na ilizama yote lakin watu wapepita nayo.

Sasa kama umetokea Mbwinde au Kintalamba au Kipwilipwiti au Nantondole Muji au Ikupilipa Nkoba au Kyaka Nkunde Villages kwanini usipigwe ' Ndole ' Kariakoo? Pole sana!
 
Mkuu mm wa hapahapa bro. Sema tu Kariakoo kuna wizi wa ndole ulokubuhu
 
Mimi kila uchao / siku nakatiza humo humo tena kwa hao ' Masela ' wakubwa wa upigaji ' Ndole ' hapo akina Said Ghaddafi na Wenzake Rama Mijicho na Teja Maulid Mtoto wa Mchikichini lakini hawajawahi hata kunisogelea na kuthubutu kutaka Kuniibia na kuna muda huwa nawakatiza nikiwa nimebeba ' mtonyo ' wa maana tu? Unaonekana Wewe ni ' Sleki Sleki / Nyoro Nyoro ' sana Mkuu.
 
syo kwa hivi vyuma mkuu tu sameheane kumbe ww ni member wa jf
 
Mimi kila uchao / siku nakatiza humo humo tena kwa hao ' Masela ' wakubwa wa upigaji ' Ndole ' hapo akina Said Ghaddafi na Wenzake Rama Mijicho na Teja Maulid Mtoto wa Mchikichini lakini hawajawahi hata kunisogelea na kuthubutu kutaka Kuniibia na kuna muda huwa nawakatiza nikiwa nimebeba ' mtonyo ' wa maana tu? Unaonekana Wewe ni ' Sleki Sleki / Nyoro Nyoro ' sana Mkuu.
Acha uboya Genta, ....kuibiwa ni kila mtu bob. Ispokua nlitaka kujua tu kama kuna maujanja yyte kupambana na wapiga ndole.
 
Kaliakoo hata uwe na panga na bundiki huniibii o level hapo hapo Uhuru mchanganyiko advance hapo hapo Benjamin mkapa high school labda uwe na kifaru
Jamaa ameomba mbinu ya kujikinga dhidi ya wezi kko wewe unaanza kujisifu huwezi kuibiwa. Mkuu inaonekana wewe ni wa mjini sema una kaushamba flani hivi.
Btw bado tunahitaji hizo mbinu unazotumia ili usiibiwe
 
Wakuu, tupeane mbinu aisee kama kichwa cha habari kinavosema.

Nilikua naenda kununua betri ya laptop, kwenye wallet nlikua na elfu 80/-. Nimefika shop na kupatanisha betri, ile nataka kutoa hela nakuta mfuko tupu, wamechomoa wallet na ndo ilikua na hela.

Wallet nliweka mfuko wa mbele wa suruali ya jeans na ilizama yote lakin watu wapepita nayo.
Nimekuelewa,ila swali moja please,ni hivi hiyo suruali ulikuwa umevaa au umeining'iniza kichwani? Ukinijib nitajua nakushaurije.
 
Unaweza support swali lako na mchoro au picha mkuu, maana sijakuelewa.
 
mh naomba yasinikute mana mimi ndo mzembe kabisa...unakuta natembea njia nzima nimeshika simu kizembeee ...au nafungua mkoba katikati ya nyomi....
 
Wakuu, tupeane mbinu aisee kama kichwa cha habari kinavosema.

Nilikua naenda kununua betri ya laptop, kwenye wallet nlikua na elfu 80/-. Nimefika shop na kupatanisha betri, ile nataka kutoa hela nakuta mfuko tupu, wamechomoa wallet na ndo ilikua na hela.

Wallet nliweka mfuko wa mbele wa suruali ya jeans na ilizama yote lakin watu wapepita nayo.
hadi na sisi tuibiwe kwanza ndo tutazungumza
 
dah mkuu unajisahau sana yan umeweka walet mfuko wa mbele na bado unaibiwa..ebu papasa na nyeti zako usije kuta nazo hazipo mkuu
 
Back
Top Bottom