Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Hao C.I.D wanachukuliwa wa level gani masta? na wanahusika na nini
 
Hao C.I.D wanachukuliwa wa level gani masta? na wanahusika na nini
Hata kidato Cha nne ila wenye ufaulu mkubwa...! Kipindi jeshi linaanzishwa darasa la 7 walikuwa wengi hivyo la saba...walipewa mafunzo ya C.I.D

Hawa ni wapelelezi au investigation officer wengi wao Huwa awavai uniform kabisa...na Kuna wengine awaripoti vituoni kabisa😂😂😂

POLISI Ina intelligence kubwa sana...!​
 
Asante kwa taarifa masta
 
Jamani nia na madhumuni ya Uzi huu ni kupeana updates mbalimbali Kwa wale tulio omba ajira za jeshi la polisi 2024 kama Kuna yeyote anajua chochote kuhusiana na CCP akuje atupe mwanga, mbinu za kutoboa pamoja na life la huko

Asantni🙏
Wewe nenda polisi dondoo za niniacheni woga nyie vijana sisi tumekaa jkt mwaka mzima bado tulikuwa tunapenda muda uongezwe nyie miezi mitatu inawatia hofu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…