Tupeane updates za Ajira za Polisi 2024

Naongozea, swali hapa vipi kwa ambae ataingia na form 6 lakini Ana Bachelor kuna uwezekano akishaingia aka submit vyeti vyake vya degree? msaada please mwenye kujua
 
Huwezi jua usijikatie tamaa zidisha maombi ndugu yangu[emoji1431]
Kikubwa dua, huku ukisubiri pdf
 
Anhaa, nimekusoma kaka
 
Kwahyo ukishamaliza masomo unapeleka vyeti tu uongezewe mshahara alafu cheo hupandishwi??…maana apo ukishakua na degree nategemea uwe na cheo cha assistant inspector(nyota moja)
 
100,000/= haizidina
ukiingia na chet cha 4m6 mshaara ni bei gani mkuu??
 
Kwahyo ukishamaliza masomo unapeleka vyeti tu uongezewe mshahara alafu cheo hupandishwi??…maana apo ukishakua na degree nategemea uwe na cheo cha assistant inspector(nyota moja)
Au wezi kupanda cheo bila kwenda kozi ya cheo...Kila cheo kina kozi yake...vyeo vyote vya jeshi lazima uteseke labda vile vya kutunukiwa tu ndio unavipata kisiasa siasa ila vyeo vya kijeshi vyote ni mateso kwenda mbele😂😂😂​
 
Hahah lazma uteseke kwanza au sio😁😁
 
Iyo pdf sijui wanatoa lini maana ni mwezi na masiku sasa yashapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…