Shukrani sana mkuu maelezo yameshiba 🤝🤝Issue Ya Simu Ni Marufuku, CCP bado simu wanakaza sana....
Depo iliyopita J4 MweI mmoja kabla kuna miamba wawili mmoja alikutwa na simu anaongea nayo Bwenini akafukuzwa pia mwingine alikutwa na Betri ya simu akafukuzwa...
CCP Ukikamatwa na simu unakaa ndani kituoni wiki au zaidi ndo baadae unafukuzwa mbele ya wenzako wote...
Ukiwa na uhitaji wa simu unamuona OC Kombania au Afande yoyote wa Kombania kwa msaada zaidi.
Sema mkuu ww ni poti na inaonekana upo apo ccp kama mkufunzi Mercenary2013 😉Issue Ya Simu Ni Marufuku, CCP bado simu wanakaza sana....
Depo iliyopita J4 MweI mmoja kabla kuna miamba wawili mmoja alikutwa na simu anaongea nayo Bwenini akafukuzwa pia mwingine alikutwa na Betri ya simu akafukuzwa...
CCP Ukikamatwa na simu unakaa ndani kituoni wiki au zaidi ndo baadae unafukuzwa mbele ya wenzako wote...
Ukiwa na uhitaji wa simu unamuona OC Kombania au Afande yoyote wa Kombania kwa msaada zaidi.
Duh nashangaaa ,, comments za ki kuruta hapa jukwaaaani ....tena za masuala ya humo ndani ndani afu online duh...S
Simu hakuna mzee ila kwa mazingira ya sasa naona kumelegeaa maana recruits wanapata sana simu za magendo....mambo mengi yamebadilika kwenye kozi ya PT kwa hvi sasaa
Nani kuruta mkuu?Du
Duh nashangaaa ,, comments za ki kuruta hapa jukwaaaani ....tena za masuala ya humo ndani ndani afu online duh...
Mi naomba kuuliza Kwa upande wa wanawake wananyoa nywele za kichwani au wanaweza ruhusiwa ila Kwa mitindo rafiki
Mfano Depo Lililopita Bogi La Kwanza Walikuja Wale Wa Mikoani Toka Kwa RPC Wote Walikuja Na Magari Moja Kwa Moja Toka Mikoa Yao Hadi CCP...Utaratibu mfano mwaka jana kwa mkoa niliopo mimii....tarehe ya kuripoti ilivotoka (kwenye PDF) waliondokea kwa RPC na basi la Polisi la mkoani hapo na wale wa makao makuu ndo hua vivyohivyoo.
DuuuhUnanyoa upara tena upara ung’ae kabisa
Mfano Depo Lililopita Bogi La Kwanza Walikuja Wale Wa Mikoani Toka Kwa RPC Wote Walikuja Na Magari Moja Kwa Moja Toka Mikoa Yao Hadi CCP...
Wale Wa Makao Makuu (Wenye Fani) Waliripoti Makao Makuu Dodoma Kisha Safari Kwenda CCP...
Bogi La Pili Hadi La Tatu Ambao Waliripoti Mwezi Mmoja Baadae Kila Mmoja Aliripoti CCP Kwa Muda Wako Kama Ilivyopangwa Kwa Kuripoti Kwa Wiki Husika Pale CCP...
Mkoani Utakaoripoti Mapema Ndo Askari Wake Watapewa Namba Kubwa (Senior) Pale CCP...
Mungu atusaidie aisee na mm niwepo kweny pdf nije nikukute apo ccp mkuu Mercenary2013Mfano Depo Lililopita Bogi La Kwanza Walikuja Wale Wa Mikoani Toka Kwa RPC Wote Walikuja Na Magari Moja Kwa Moja Toka Mikoa Yao Hadi CCP...
Wale Wa Makao Makuu (Wenye Fani) Waliripoti Makao Makuu Dodoma Kisha Safari Kwenda CCP...
Bogi La Pili Hadi La Tatu Ambao Waliripoti Mwezi Mmoja Baadae Kila Mmoja Aliripoti CCP Kwa Muda Wako Kama Ilivyopangwa Kwa Kuripoti Kwa Wiki Husika Pale CCP...
Mkoani Utakaoripoti Mapema Ndo Askari Wake Watapewa Namba Kubwa (Senior) Pale CCP...
Mfano Depo Lililopita Bogi La Kwanza Walikuja Wale Wa Mikoani Toka Kwa RPC Wote Walikuja Na Magari Moja Kwa Moja Toka Mikoa Yao Hadi CCP...
Wale Wa Makao Makuu (Wenye Fani) Waliripoti Makao Makuu Dodoma Kisha Safari Kwenda CCP...
Bogi La Pili Hadi La Tatu Ambao Waliripoti Mwezi Mmoja Baadae Kila Mmoja Aliripoti CCP Kwa Muda Wako Kama Ilivyopangwa Kwa Kuripoti Kwa Wiki Husika Pale CCP...
Mkoani Utakaoripoti Mapema Ndo Askari Wake Watapewa Namba Kubwa (Senior) Pale CCP...
Wakati Wa Ukuruta Senior Na Junior Hamna Tofauti Kubwa Ila Kwa Mikoani Senior Anapata Salamu Yake Safi Kutoka Kwa Wale Junior Wote Wa Depo Yake Na Depo Zinazomfuatia...Naomba kuuliza, kua senior kuna faida gani kwa apo ccp na kua junior kuna hasara gan mkuu? Mercenary2013
Anhaa nimekupata mkuu….na ni nini kitakachomtambulisha kua huyu ni senior uko mkoani ili mdogo(junior) ampigie salute?Wakati Wa Ukuruta Senior Na Junior Hamna Tofauti Kubwa Ila Kwa Mikoani Senior Anapata Salamu Yake Safi Kutoka Kwa Wale Junior Wote Wa Depo Yake Na Depo Zinazomfuatia...
Duuuh
Salute Ni Hadi Nyota Moja.... Ila Ili upewe heshima ni utofauti wa Namba mnazopewa ambazo zinashonwa au kubandikwa kifuani upande wa kuliaAnhaa nimekupata mkuu….na ni nini kitakachomtambulisha kua huyu ni senior uko mkoani ili mdogo(junior) ampigie salute?
Salute Ni Hadi Nyota Moja.... Ila Ili upewe heshima ni utofauti wa Namba mnazopewa ambazo zinashonwa au kubandikwa kifuani upande wa kulia
Mfano: H.9999 atamheshimu H.9998 (Kwa PCs) Katika Depo moja siku zote Wanaume PCs watakuwa wakubwa kuliko Wps
Shukrani mkuu🤝Salute Ni Hadi Nyota Moja.... Ila Ili upewe heshima ni utofauti wa Namba mnazopewa ambazo zinashonwa au kubandikwa kifuani upande wa kulia
Mfano: H.9999 atamheshimu H.9998 (Kwa PCs) Katika Depo moja siku zote Wanaume PCs watakuwa wakubwa kuliko Wps
Unaonaje ukaanza kumuona ww kwanza mkuuMuone ZCO Mafwele pia Kuna namba zake ktk ukurasa wake wa mtandao X ndugu sativa ameweka
Naaam uko sahihi kabisa mkubwa🤝🙌Mfano Depo Lililopita Bogi La Kwanza Walikuja Wale Wa Mikoani Toka Kwa RPC Wote Walikuja Na Magari Moja Kwa Moja Toka Mikoa Yao Hadi CCP...