Jax66
JF-Expert Member
- Nov 10, 2023
- 561
- 510
Shukrani sana mkuu maelezo yameshiba 🤝🤝Issue Ya Simu Ni Marufuku, CCP bado simu wanakaza sana....
Depo iliyopita J4 MweI mmoja kabla kuna miamba wawili mmoja alikutwa na simu anaongea nayo Bwenini akafukuzwa pia mwingine alikutwa na Betri ya simu akafukuzwa...
CCP Ukikamatwa na simu unakaa ndani kituoni wiki au zaidi ndo baadae unafukuzwa mbele ya wenzako wote...
Ukiwa na uhitaji wa simu unamuona OC Kombania au Afande yoyote wa Kombania kwa msaada zaidi.